Ni uhuni tu na udikteta wa huyo wa KUDEMKA na amiri jeshi mkuu gaidi Mwigulu Nchemba na kundi lake la Axis of Evil Ndugai, mrundi, majaliwa, msigwa, diwani na Ndugulile...
Ngoja atimbe kwenye ndoo kwanza kwa muda ndo ajue madhara ya kutaka kuleta vurugu kwenye nchi kwa lengo la kutimiza personal interests zake. Hakuna aliyemlazimisha.
Sawa ✌🏿Kutimba Mbowe kwenye ndoo?
Hilo mbona dogo sana.
Achana na Mbowe sisi tuko tayari kutimba shimoni ndani ya choo na hata kufa sembuse kutimba kwenye ndoo?
Ww ni -Ngoja atimbe kwenye ndoo kwanza kwa muda ndo ajue madhara ya kutaka kuleta vurugu kwenye nchi kwa lengo la kutimiza personal interests zake. Hakuna aliyemlazimisha.
Sawa ✌🏿
Kuna mtu aliwahi kuziita baadhi ya nchi za Afrika "shit-hole countries". Ni zile zenye raslimali nyingi, zina katiba, zina bunge na mahakama lkn zinaendeshwa kama vile mradi wa mtu fulani. Watu wake ni maskini, hawana raha lkn viongozi wamenona wanaishi wapendavyo! Halafu Trump akiwatukana wanasema ni mwendawazimu!
Utawajua kwa midomo yao
Ww ni -
Shida ni kwamba haya yote yanafanyika nyuma ya keyboardAchana na Mbowe sisi tuko tayari kutimba shimoni ndani ya choo na hata kufa sembuse kutimba kwenye ndoo?
Kudai Katiba mpya = Kutafutiza ugali waoShida ni kwamba haya yote yanafanyika nyuma ya keyboard