Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 ambao ulikuja na kishindo cha Lowassa kuhamia Chadema na Dr Slaa kuachia ngazi, umefuatiwa na tathimi ktk vikao vya baraza la mashauriano kila mkoa.
Na baada ya tathmini hizo kuwasilishwa Kamati kuu kikao hicho kimependekeza majina ya watu wawili kumrithi Dr Slaa ambayo yatawasilishwa hivi karibuni ktk kikao cha baraza kuu.
Majina hayo yanatarajiwa kuwashangaza wengi kutokana na umahiri na weledi walio nao. Mchakato wa kuwapata ulikuwa wazi na mapendekezo yametokana na maoni ya vikao vya mabaraza ya mashauriano kila mkoa ambavyo vingi alihudhuria Mbowe mwenyewe.
Wanaotajwa ni Sumaye, Lissu, Mdee, Salmu Mwalim, Said Kubenea, Lembeli, Mnyika na Wenje