Mbowe kutikisa Shinyanga kesho Jumamosi

Mbowe kutikisa Shinyanga kesho Jumamosi

Makamanda tunawaombea kila raheri kwa maandalizi ya kuchukua hatamu za uongozi wa Taifa letu linaloibiwa kila kukicha.

Naamini sala zako zimefika kwa makamanda.
 
ama kweli Chadema wako vyema sisi ngoja tuendelee kukomaa na akina hugo humu jf.
Ndio kaka, tunakomaa nao na tunahakikisha hizi propaganda zao hazifiki popote, Mbowe endelea kuchanja mbuga, vijana wako tunaendelea na kazi kama kawaida, TAIFA KWANZA, magamba kesho kutwa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndio kaka, tunakomaa nao na tunahakikisha hizi propaganda zao hazifiki popote, Mbowe endelea kuchanja mbuga, vijana wako tunaendelea na kazi kama kawaida, TAIFA KWANZA, magamba kesho kutwa!!!!

mkuu pamoja sana.!!
 
Sababu ya propagandazao za kitoto leo nimevuna wanachama 4 toka Ccm waliochukizwa na kitendo walichomfanyia rwakatare na wameniambia kwamba wameamini ccm wapo tayari kuuwa watu kwa ajiri ya kubaki madarakani,nimewakaribisha Cdm nakuwambia kurazao 4 zina thamani ktk kuikomboa inchiyetu toka kwa wakoloni weusi
 
Hongera mkuu kwa mapambano ya chini kwa chini.
 
hapa ndipo napoikubali chadema, kamanda wa anga anaimarisha chama jimbo kwa jimbo, kamanda wa ardhi yupo ofcn akiimarisha chama na kukemea propaganda za ccm,,,,mgawanyo wa majukumu, safi sana
 
kazi nzuri sana kwa kiongozi huyu asiye na makuu; a milions of thanks for him
 
...CHADEMA na ukombozi,maCCM na maigizo..."GO kama wa anga GO GO GO!"...
 
hapa ndipo napoikubali chadema, kamanda wa anga anaimarisha chama jimbo kwa jimbo, kamanda wa ardhi yupo ofcn akiimarisha chama na kukemea propaganda za ccm,,,,mgawanyo wa majukumu, safi sana

Kwa mgawanyo wa madaraka ndiyo maana mtaalam wa masuala ya siasa nchini alisema Mbowe na Dr Slaa ni best combination ever.
 
Tunawatakia kila la heri nyie mukiwa field sisi tupo mtandaoni kupigana na mumiani wa siasa chafu za mtandaoni tutafurahi updates zikiambana na picha bro salamu zetu nyingi kwa mwenyekiti
 
Hapa ni kazi tu huwezi shindana na uwezo wa MUNGU....Chadema inategemea nguvu ya Mola zaidi na hizi propanda za Magamba kamwe hazitafua dafu.
 
In God Chadema we Trust.
 
Back
Top Bottom