MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,397
- 40,235
Apewe uenyekiti wa bodi ya parole kama hayati Mrema.Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Apewe uenyekiti wa bodi ya parole kama hayati Mrema.Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Ameshindwa uenyekiti wenza si bora kumdemote kabisa.😃 😀 😄 😁 🤣 😂 😃 😀 amka ndotoni bro! Mbowe na u DC? Hiyo sio demotion?
Hapana kaka, hi itakua dharau ya hali ya juAmeshindwa uenyekiti wenza si bora kumdemote kabisa.
akiwa mbunge wa wapi?Nafasi atakayopewa Mbowe , wote mtashangaa na hamtaamini!
Naibu Waziri mkuu ni nafasi inayomsubiri hewani !