Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,142
Hivi nyinyi chadimu munasoma na kuelewa kweli au misukule na Pete ya lowassa bado inawasubua kichwani
mkuu Hivi hawa ambao bado wako Chadema wanalielew kweli kuwa chama chao kimeuzwa kwa fisadi.nilimpuuza sana Nickname hata sikuona haja ya kuchangia kwenye uzi wake niliofikiri ulikua wa kipuuzi sana.....SAMAHANI SANA KAKA MKUBWA KOKOTE ULIKO!ulikua sahihi kabisa kuchokoza mjadala huu na kwakweli najisikia aibu kuwaamini hawa wahuni kwamba they were a real deal!
hongera Zitto kwa kua na msimamo n holding to what u believe!
mkuu Hivi hawa ambao bado wako Chadema wanalielew kweli kuwa chama chao kimeuzwa kwa fisadi.
Mahaba niue hayo,, hawaoni hawasikii,kama mabadiriko si mumuunge mkono hashim lungwe?? Maana huwa mnasema hata likiwekwa jiwe na CCM nyie mtachagua jiwe, sasa kama ni hivyo kwanini asiwe HASHIM RUNGWE??,,, bila shaka mpo kwenye lindi la unafiki, poleni sana, GWAJIMA amekuwa sehemu ya wanaharakati na wapigania ukombozi???? 2011 mliambiwa 2015 mbowe atamuuzia chama lowassa na kweli imetokea lowassa ni mfalme wa mabadiriko leo na midume yote inamsujudia,, masikini wengine walimuita lowassa fisadi na wakamlani mpaka kuwaambia watoto na wajukuu zao wakaenae mbali maana ni hatari kwa taifa,,, leo na usomi wao wanapiga makofi na kumshangilia pia kushauri wengine, watoto, wajukuu na wake zao kumshangilia na kumsujudia,,, akijamba hayanuki leo ila ni mwendo wa kumwambia aongeze
Kama Mbowe aliweza kuiuza Chadema bila Wanachama kujua. Leo tukimpa Nchi si tutauzwa tukiwa hatuna taarifa!!!?
Mfanyabiashara hawezi kuwa Mwanasiasa. Anachowaza yeye ni Biashara tu.
Lowasa akiingia ikulu, Mbowe ndio atakuwa mshauri wake. Biashara itafanyika sana IKULU.
Watanzania tutajuta!
Hii thread imewekwa toka 2011 humu JF,, lakini imeelezea kile kinachotokea sasa 2015.. sasa sijui hawa manyumbu hawaoni haya,, poleni manyumbu, hatuko tayari kupigwa dili tukiwa hai,,
Nawashangaa sana lisu, mdee na mnyika. Sikutarajia kwamba wangeangukia kwenye ujinga huu.Mahaba niue hayo,, hawaoni hawasikii,kama mabadiriko si mumuunge mkono hashim lungwe?? Maana huwa mnasema hata likiwekwa jiwe na CCM nyie mtachagua jiwe, sasa kama ni hivyo kwanini asiwe HASHIM RUNGWE??,,, bila shaka mpo kwenye lindi la unafiki, poleni sana, GWAJIMA amekuwa sehemu ya wanaharakati na wapigania ukombozi???? 2011 mliambiwa 2015 mbowe atamuuzia chama lowassa na kweli imetokea lowassa ni mfalme wa mabadiriko leo na midume yote inamsujudia,, masikini wengine walimuita lowassa fisadi na wakamlani mpaka kuwaambia watoto na wajukuu zao wakaenae mbali maana ni hatari kwa taifa,,, leo na usomi wao wanapiga makofi na kumshangilia pia kushauri wengine, watoto, wajukuu na wake zao kumshangilia na kumsujudia,,, akijamba hayanuki leo ila ni mwendo wa kumwambia aongeze
Aione Mzee Mwanakijiji Mkuu Lizaboni nini maoni yako juu ya kadhia hii ya tangu 2011?