Ila wanaharakati wa maji taka Hamnaga akili hata za kuchambia mavi!! Mbowe mtu wa bara anakuwaje na mgombea mwenza toka Bara ambaye ni Halima? Too Silly!!Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.
Lakini cha kusikitisha ni kwamba yeye au Halima Mdee mmoja wao atagombea Urais au wote kwa pamoja, mgombea na mgombea mwenza.
Namsikitikia MBOWE katika siasa, maana umaarufu wake na legasi yake katika siasa za Tanzania itazimika ghafla na jumla kama mshumaa.
CCM mnapoteza hella zetu bure kutengeneza kitu ambacho kishafeli mapema sana.
Na hii ndiyo futuhi ya siasa ya Mwaka huu.
Nashauri uongozi wa CHADEMA usihangaike naye kwanza, hadi pale atakapoondoka mwenyewe bila shuruti.
Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.

Hawa wanaharakati mavi maviSidhani kama kunaukweli , katiba inataka mmoja awe mzanzibari na mwingine mtanganyika, wote ni watanganyika, it's impossible.
Katiba ilikua na maslahi mapana kwa CcmSidhani kama kunaukweli , katiba inataka mmoja awe mzanzibari na mwingine mtanganyika, wote ni watanganyika, it's impossible.
Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.
Lakini cha kusikitisha ni kwamba yeye au Halima Mdee mmoja wao atagombea Urais.
Halima Mdee ni mzanzibari? Au mboww mzanzibariHabari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.
Lakini cha kusikitisha ni kwamba yeye au Halima Mdee mmoja wao atagombea Urais.
Namsikitikia MBOWE katika siasa, maana umaarufu wake na legasi yake katika siasa za Tanzania itazimika ghafla na jumla kama mshumaa.
CCM mnapoteza hella zetu bure kutengeneza kitu ambacho kishafeli mapema sana.
Na hii ndiyo futuhi ya siasa ya Mwaka huu.
Nashauri uongozi wa CHADEMA usihangaike naye kwanza, hadi pale atakapoondoka mwenyewe bila shuruti.
tetesi mavi uharoHabari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.
Lakini cha kusikitisha ni kwamba yeye au Halima Mdee mmoja wao atagombea Urais.
Namsikitikia MBOWE katika siasa, maana umaarufu wake na legasi yake katika siasa za Tanzania itazimika ghafla na jumla kama mshumaa.
CCM mnapoteza hella zetu bure kutengeneza kitu ambacho kishafeli mapema sana.
Na hii ndiyo futuhi ya siasa ya Mwaka huu.
Nashauri uongozi wa CHADEMA usihangaike naye kwanza, hadi pale atakapoondoka mwenyewe bila shuruti.
Salum naye kwa chauma hakuna mtu hapo alionekana mtu wakati akiwa chama kubwa..mgombea akitoka Tanganyika mgombea mwenza anapaswa kutokea Zanzibar.
..mtu muhimu kule Chaumma ni Salum Mwalimu.
..huyo ndio anakidhi vigezo vya kuwa mgombea mwenza ikiwa Mbowe au Halima watakuwa wagombea.
Mdee ni Mzanzibari?Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.
Lakini cha kusikitisha ni kwamba yeye au Halima Mdee mmoja wao atagombea Urais.
Namsikitikia MBOWE katika siasa, maana umaarufu wake na legasi yake katika siasa za Tanzania itazimika ghafla na jumla kama mshumaa.
CCM mnapoteza hella zetu bure kutengeneza kitu ambacho kishafeli mapema sana.
Na hii ndiyo futuhi ya siasa ya Mwaka huu.
Nashauri uongozi wa CHADEMA usihangaike naye kwanza, hadi pale atakapoondoka mwenyewe bila shuruti.
Au awe mgombea mwenza wa Mwenyekiti wa sasa wa Chaumma. Au agombee mwenyewe uRais na mwenza atoke bara...mgombea akitoka Tanganyika mgombea mwenza anapaswa kutokea Zanzibar.
..mtu muhimu kule Chaumma ni Salum Mwalimu.
..huyo ndio anakidhi vigezo vya kuwa mgombea mwenza ikiwa Mbowe au Halima watakuwa wagombea.
Salum naye kwa chauma hakuna mtu hapo alionekana mtu wakati akiwa chama kubwa
Au awe mgombea mwenza wa Mwenyekiti wa sasa wa Chaumma. Au agombee mwenyewe uRais na mwenza atoke bara.
Amandla...
OkSidhani kama kunaukweli , katiba inataka mmoja awe mzanzibari na mwingine mtanganyika, wote ni watanganyika, it's impossible.
Hawa watu wako Programmed kuzusha.Ila wanaharakati wa maji taka Hamnaga akili hata za kuchambia mavi!! Mbowe mtu wa bara anakuwaje na mgombea mwenza toka Bara ambaye ni Halima? Too Silly!!
Hujui katiba ya nchi?Habari zinaeleza kwamba Mbowe aliyegalagalazwa vibaya mnoo kwenye uchaguzi wa CHADEMA dunia nzima ikishuhudia live, kama tunavyojua kwamba atakimbilia CCM B(Chauma) muda si mrefu kama ilivyotabiriwa hapo awali.