mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
WANABODI, wasaalam nimetonywa na rafiki yangu wa karibu sana wa ndani kwamba mwenyekiti wa chadema freeman mbowe ana nia ya kugombea jimbo la moshi mjini 2015 kwa kile kinachodaiwa mzee ndesamburo kustaafu siasa na kuachana nayo mosi wakati huo huo kuna tetesi kwamba meya wake JAFARI ndiye anayepigiwa chapuo na mzee ndesambaru kurithi mikoba yake, kitendo hichi kimeleta msuguano wa ndani kwa ndani kati ya mzee ndesamburo na mbowe kwasababu nyumbani kwake hai ameharibu.nataka ukweli wa hili.tujadili