Mbowe kugombea ubunge Moshi Mjini

Mbowe kugombea ubunge Moshi Mjini

Umeanza kwa matusi na kejeli. Hapa ndio umejikosoa na kujidahihisha, haya turudi kwenye mada..mbowe atagombea moshi mjini? Japhary michael naye anajiandaa kwa upatu wa mzee ndesa? Mbowe ameharibu hai?

Uongo mkuu!
 
WANABODI, wasaalam nimetonywa na rafiki yangu wa karibu sana wa ndani kwamba mwenyekiti wa chadema freeman mbowe ana nia ya kugombea jimbo la moshi mjini 2015 kwa kile kinachodaiwa mzee ndesamburo kustaafu siasa na kuachana nayo mosi wakati huo huo kuna tetesi kwamba meya wake JAFARI ndiye anayepigiwa chapuo na mzee ndesambaru kurithi mikoba yake, kitendo hichi kimeleta msuguano wa ndani kwa ndani kati ya mzee ndesamburo na mbowe kwasababu nyumbani kwake hai ameharibu.nataka ukweli wa hili.tujadili



Tujadili umbea??
 
Mwenyekiti wa Chama kinachojiita cha ukombozi kushinda kwa kura chache namna hii inaonyesha wakazi wengi wa jimbo la Hai ambapo ni nyumbani kwao hawana imani naye. Haya ni matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010.
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]KILIMANJARO
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]WILAYA YA HAI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]HAI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Political Party
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] MBOWE FREEMAN AIKAEL [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]28,585[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 51.63[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] FUYA GODWIN KIMBITA [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
CCM
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]23,349[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 42.17[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] HAWA HENRY KIHOGO [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
UDP
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]258[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.47[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] KISSIMBO IBRAHIM PETRO [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
TLP
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]135[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.24[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]3,043[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 5.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"] 55,370[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
WANABODI, wasaalam nimetonywa na rafiki yangu wa karibu sana wa ndani kwamba mwenyekiti wa chadema freeman mbowe ana nia ya kugombea jimbo la moshi mjini 2015 kwa kile kinachodaiwa mzee ndesamburo kustaafu siasa na kuachana nayo mosi wakati huo huo kuna tetesi kwamba meya wake JAFARI ndiye anayepigiwa chapuo na mzee ndesambaru kurithi mikoba yake, kitendo hichi kimeleta msuguano wa ndani kwa ndani kati ya mzee ndesamburo na mbowe kwasababu nyumbani kwake hai ameharibu.nataka ukweli wa hili.tujadili

si mzima huyu
 
Kwanini hatupendi kukosolewa? This is the free world, you cant hide your sin for long. Tutakujua na tutayajua madhambi yako na tutayasema kama hivi

mkuu tatizo la vijana wengi wameanza siasa kwa pupa na juzijuzi hawamjui mmaranguorlginal sisi ndio makamanda.wajifunze kujibu hoja kwa hoja unapoambiwa umekula rushwa kisiasa usikimbilie mahakamani jibu hapo kwa papo
 
Yani huyu jamaa analinda ndoa ipasavyo akiona tu mmegusa jina mbowe hata kama alikuwa chooni hamalizi kwanza atajibu uj.inga then akamalizie haja hongera mbowe kwa kuoa vijana kama ben.
Unamkana BAVICHA mwenzio, au ID yake imekuwa hacked, maana huyu mmaranguoriginal. ni mmoja wa viwavi wanaoshinda humu wakitetea ujinga wa CHADEMA kama wewe.
 
Mwenyekiti wa Chama kinachojiita cha ukombozi kushinda kwa kura chache namna hii inaonyesha wakazi wengi wa jimbo la Hai. Haya ni matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010.

Nabii hakubaliki kwake hata kwa Yesu ilikuwa hivyo!
 
tetesi, nami nimesikia kuwa hii madsa hujaandika wewe, ila kwanini usingemalizana nae huyo mtu wa karibu huko huko, kuliko kuleta tena hapa?
 
kamanda kawaulize vijana waliotengeneza vikundi vikundi vidogo vidogo vya miche pesa zao walizohadiwa zimekwenda wapi ndio tetesi zenyewe


Hapa uko sawa mkuu. Alianzisha project ya kupanda miti haikufika kokote hata miti aloahidi kupanda hata robo yake haijafika kuna ndugu yake mmoja alikuwa amemuweka kwenye hiyo kampuni asimamie jamaa alikuwa anajitahidi sana ila akakatishwa tamaa na Mbowe kwa kutomlipa mshahara na kumtaka aendeshe kampuni bila hela ni mengi sana yamejificha nyuma ya haka kamradi cha Mbowe tatizo vijana wa BAVICHA hampendi mwenyekiti wenu akosolewe, kwenye ukweli acha watu waseme humu kila mtu anaruhusiwa kutoa maoni yake.
 
Mmmmmmh.....!!!!!!!!!! Mimi nimesikia atagombea jimbo fulan la huko U.S.A. Naomba uhakika kutoka kwenu wadau.
 
Mleta mada nadhani ni busara unaposikia jambo ukajiridhisha na kupata taarifa nzuri kuliko kukurupuka afu ukaonekana kama wa mipasho. Kama ulikutana na hao wenye taarifa na wanaofahamu ukweli huu kwa nini usingetulia na kugema taarifa timilifu ndo ulete tujadili? Binafsi kusema eti mbowe aikimbie hai kisa kaaribu ??????????!!!!!!!!!
 
mwenyekiti wa chama kinachojiita cha ukombozi kushinda kwa kura chache namna hii inaonyesha wakazi wengi wa jimbo la hai ambapo ni nyumbani kwao hawana imani naye. Haya ni matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010.

wewe ni zaidi ya zumbukuku, kura 5244 zaidi ya asilimia tisa unaona ni kidogo?
 
Duh vipaji hii vya umbea si vya kubeza kabisa

Mkuu Ben ukisema hivyo unamaanisha tuviamini tusivipuuze.
Ungesema" vipaji hivi vya umbea si vya kuviamini kabisa" Kwa kuwa n mchumi na mdiplomasia ninakusamehe.
Ungeleta maswali mengi.
 
Back
Top Bottom