masanjasb
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 2,364
- 869
Kila mmoja ana akili yake na mtazamo wake,kama katibu kaona hakuna la maana litakalomfanya amkumbuke kikwete tatizo lake liko wapi? Huo ni mtazamo wake bwana
Mbowe kumsifia kikwete pia si kwa mambo yote ila kwa hilo la kutimiza ahadi jimboni mwake hata kama ingekuwa wewe ungefanya the same tu
Tafutani makosa mengine mapya kabisa ya katibu mkuu,kashauriana na bi hamida ili mje upya tena