Mbowe: Kikwete ni zaidi ya kiongozi

Mbowe: Kikwete ni zaidi ya kiongozi

Mtela Mwampamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
537
Reaction score
347
Watch "Freeman Mbowe alipomfagilia JK kwa juhudi zake za kuendeleza miundombinu Tanzania"
 
Last edited by a moderator:
weka chochote, this time concentration iko kwenye Operesheni Daima Pamoja, tukimaliza tutarudi kutazama upuuzi wako.
 
image.jpgHuyu mzee ni zaidi ya Kikwete
 
ni kweli ana maana kwamba ni player mzuri hadi kule kwenu nadhani unaelewa ana maana gani think twice,"GENERALLY THERE ARE 3 KINDS OF GIVERS EXIST IN A SOCIETY
  1. THE FLINT
  2. THE SPONGE
  3. THE HONEYCOMB
 
weka mambo mda wa kufungua u-tube haupo.kama umbea sema.umeamua kuweka uzi weka habari nzima.
 
Muacheni mwanafamilia wa Nchemba sasa tuambie vipi kuhusu mawaziri mizigo kuludishwa kweli Ccm ni chama cha mizigo na mzigo namba 1 nchi hii ni yule anayefanya uteuzi
 
Wilbroad Slaa akihojiwa na wanahabari, akasema bila hata haya kuwa hana cha kumkumbuka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete atakapomaliza muda wake wa urais.

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman AIKAELI MBOWE wakati Rais akiwa jimboni kwake (HAI) yeye akasema ametembea nchi hii kwa njia ya ardhi na anga anatambua kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya Rais Kikwete ya ujenzi wa miundombinu ya barabara inayosimamiwa na Waziri wa Ujenzi, Dr. John Pombe Magufuli. MBOWE akaenda mbali na kusema yeye ni mpinzani lakini , MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE APEWE, huku akiwasisitiza wananchi wa hai kumshangilia Rais kwa kuwa ndiyo kiongozi/taa ya nchi yetu.

Tumsikilize mheshimiwa MBOWE wakati akimpongeza Rais kwa kazi kubwa anayoifanya nchini. Na hapa sina hiyana nampongeza Mh. MBOWE kwa jinsi anavyoonekana kuwa mkomavu wa kisiasa kuliko Katibu wake mkuu.


 
Last edited by a moderator:
Tatizo la SLAA, wivu wa mapenzi anaupeleka hadi kwenye siasa.
 
Ata mimi nakupongeza kwa post yako ila sito kukumbuka kwa lolote.

teh teh , mkuu mleta mada kaweka kitu kizuri sana, nadhani tuna cha kujifunza kutoka kwa wanasiasa wetu kupitia matukio kama haya. SLAA yeye anafikiri kuwa mpinzani, basi hakuna kuangalia nyuma.
 
Mtazamo na fikra za binadamu kiasilia hazifanani, nikikuuliza chanzo cha umasikini tanzania nauhakika jibu unalo lakini mwenyekiti wako afahamu kwanini watanzania nimasikini,
 
Back
Top Bottom