technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,444
- 50,763
Wanajamvi kama ilivyo kawaida yao hawa ni watoto wa mjini tofauti yao ni kikwete ni ccm damu na mbowe ni chadema damu!!!
Lakini sifa zao zinazofanana ni hatareeeee hebu ona !!!
Mbowe ni mchaga wa town kakua na kuzunguka mitaa yote ya town kakaa na kila wajanja wote wa town ,,
Hivyo hivyo kwa kikwete umwambii kitu kuusu maji ya bahari amezoea town mambo yake mengi ufanyia town usipomkuta town utamtafuta majuu,,,
Mkumbuke kikwete akuanza kumkata lowassa tu alishawakata wengine kwa kutumia njia nyingine!!
Akikikata tu unapotea
Alimkata malecela akapotea kisiasa
Akamkata salimu amed salimu akapotea kisiasa!!!
Juzi alimkata professor mark mwandosya huko wapi???
Vile vile Mbowe kwa style nyingine ameshawakata ambao walitikisa siasa za upinzani !!!
Alimukata zitto watu wakasema chadema kinakufa chadema ikabaki imara!!!
Akamka Slaa kwa kubadili gia angani watu wakajua chadema kitakufa lakini chama kikabaki!!!
Ukiwaangalia wamevaa miwani wanavyotazama hawa ni watoto wa njini!!!
Sasa nawaakikishia Mbowe 2020 atamkata lowassa na kumchinjia baharini na chama kitabaki salama kabisa !!!
Ushauri wanasiasa msicheze sana na wanasiasa hawa Mbowe=Kikwete ni watoto wa mjini!!!