Mbowe, Kikwete ni watoto wa mjini, Lowassa atakatwa tena 2020

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,841
Wanajamvi kama ilivyo kawaida yao hawa ni watoto wa mjini tofauti yao ni kikwete ni ccm damu na mbowe ni chadema damu!!!

Lakini sifa zao zinazofanana ni hatareeeee hebu ona !!!

Mbowe ni mchaga wa town kakua na kuzunguka mitaa yote ya town kakaa na kila wajanja wote wa town ,,

Hivyo hivyo kwa kikwete umwambii kitu kuusu maji ya bahari amezoea town mambo yake mengi ufanyia town usipomkuta town utamtafuta majuu,,,

Mkumbuke kikwete akuanza kumkata lowassa tu alishawakata wengine kwa kutumia njia nyingine!!

Akikikata tu unapotea

Alimkata malecela akapotea kisiasa
Akamkata salimu amed salimu akapotea kisiasa!!!
Juzi alimkata professor mark mwandosya huko wapi???

Vile vile Mbowe kwa style nyingine ameshawakata ambao walitikisa siasa za upinzani !!!

Alimukata zitto watu wakasema chadema kinakufa chadema ikabaki imara!!!

Akamka Slaa kwa kubadili gia angani watu wakajua chadema kitakufa lakini chama kikabaki!!!

Ukiwaangalia wamevaa miwani wanavyotazama hawa ni watoto wa njini!!!

Sasa nawaakikishia Mbowe 2020 atamkata lowassa na kumchinjia baharini na chama kitabaki salama kabisa !!!

Ushauri wanasiasa msicheze sana na wanasiasa hawa Mbowe=Kikwete ni watoto wa mjini!!!
 
nikiitazama chadema naona kama imejengewa misingi imara.

chadema hii hata aondoke Mbowe au Lowassa au wote kwa pamoja bado itasimama na hamuwezi amini.Chadema hata akiwekwa mnyika au Lissu kuwa mwenyekiti bado itakuwa imara.

Kuibomowa chadema lazima chama mbadala kije kwa kasi kubwa, kln ACT sijui CUF hawana uwezo huo.

Tatizo la chadema hawana mikakati ya kiufundi kukamata dola.
 
Mkuu Upo sahii
 
Kumllinganisha Jakaya Kikwete na Freeman Mbowe kwny Ulingo wa kisiasa ni Kufuru!

Jk Kawashinda Wanasiasa Wafuatao kwny Ulingo wa Sanduku la kura;

Benjamin Mkapa 1995 akiwa na 45 YEARS kwny uteuzi ngazi ya chama Mwl Nyerere akafanya ya Jecha kurudia uchaguzi ili Kijana wake Mr Clean apeperushe bendera ya Chama
Mwaka 2005 aliwaangusha Wafuatao
Makamu mwnykit na Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela
Waziri Mkuu wa wakati huo Fredrick Sumaye kwny 5 bora ya CCM
Katibu Mkuu mstaafu OAU Dr.Salim Ahmed Salim
Prof.Ibrahim Lipumba kwny uchaguzi mkuu
Freeman Mbowe kwny Uchaguzi Mkuu

2010 Alimwangusha Katibu Mkuu wa Zamani wa Baraza la Maaskofu Dr.Wilbroad Peter Slaa.
Tena akamwangusha Ibrahim Lipumba
2015 akawakata tena kwny uteuzi Wakongwe wafuatao
Edward Lowassa,Sumaye, Prof Mwandosya,Samwel Sitta, Jaji Ramadhan, N.k
Mbowe mlinganishe na Kina Slaa n.k
Sifa kubwa ya Dr. Jakaya Kikwete ni kupata vyeo vyote alivyowahi kugombea kwny Maisha yake.
Urais wa Tanzania, Ubunge wa Bagamoyo na Chalinze kwa nyakati tofauti, Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kuanzia 1982, Ujumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu n.k
 
Wanajamvi kama ilivyo kawaida yao hawa ni watoto wa mjini tofauti yao ni kikwete ni ccm damu na mbowe ni chadema damu!!!

Lakini sifa zao zinazofanana ni hatareeeee hebu ona !!!

Mbowe ni mchaga wa town kakua na kuzunguka mitaa yote ya town kakaa na kila wajanja wote wa town ,,

Hivyo hivyo kwa kikwete umwambii kitu kuusu maji ya bahari amezoea town mambo yake mengi ufanyia town usipomkuta town utamtafuta majuu,,,

Mkumbuke kikwete akuanza kumkata lowassa tu alishawakata wengine kwa kutumia njia nyingine!!

Akikikata tu unapotea

Alimkata malecela akapotea kisiasa
Akamkata salimu amed salimu akapotea kisiasa!!!
Juzi alimkata professor mark mwandosya huko wapi???

Vile vile Mbowe kwa style nyingine ameshawakata ambao walitikisa siasa za upinzani !!!

Alimukata zitto watu wakasema chadema kinakufa chadema ikabaki imara!!!

Akamka Slaa kwa kubadili gia angani watu wakajua chadema kitakufa lakini chama kikabaki!!!

Ukiwaangalia wamevaa miwani wanavyotazama hawa ni watoto wa njini!!!

Sasa nawaakikishia Mbowe 2020 atamkata lowassa na kumchinjia baharini na chama kitabaki salama kabisa !!!

Ushauri wanasiasa msicheze sana na wanasiasa hawa Mbowe=Kikwete ni watoto wa mjini!!!
Kikwete si wa mjini kwa sababu alimkata Lowasa akataka kumpenyeza Membe lakini wafuasi wa lowasa wakamkomoa kwa kumkata Membe kwenye kura na kumpa Magufuli, kumbuka 2020 ni mbali na hizo mbinu zao zitakuwa zimefifia na hazitafanya kazi, hata Slaa hakukatwa na mbowe bali walipata taarifa kuwa Slaa amekuwa rafiki mkubwa wa Membe na keshapewa nyumba Canada na cash ndipo akaanza kumkataa, tambua kuwa kabla ya 2020 kuna mengi yatatokea hapa katikati yakiwemo ya lipumba kutumika kubomoa CUF nk.
 
maneno yako yanafikirisha yanaukweli ndani ila nilitamani umalizie kwakusema mbowe alimwomba kikwete amkate lowasa ili amletee ela chadema
Hilo la kukariri propaganda ya wajanja wa CCM kuwa lowasa alitoa pesa kuingia chadema umefeli, zinduka sahau propaganda za CCM simama kwenye unachokiamini toka moyoni mwako.
 
nadhani huko hawa jamaa watakua wamekasirika maana kuitwa mtoto wa mjini na umri kama wa Raia Maarufu(jk) atakua amejisikia vibaya.
 
Kikwete si wa mjini kwa sababu alimkata Lowasa akataka kumpenyeza Membe lakini wafuasi wa lowasa wakamkomoa kwa kumkata Membe kwenye kura na kumpa Magufuli, kumbuka 2020 ni mbali na hizo mbinu zao zitakuwa zimefifia na hazitafanya kazi, hata Slaa hakukatwa na mbowe bali walipata taarifa kuwa Slaa amekuwa rafiki mkubwa wa Membe na keshapewa nyumba Canada na cash ndipo akaanza kumkataa, tambua kuwa kabla ya 2020 kuna mengi yatatokea hapa katikati yakiwemo ya lipumba kutumika kubomoa CUF nk.
Mkuu tumiteje sasa kikwete??
 
nikiitazama chadema naona kama imejengewa misingi imara.

chadema hii hata aondoke Mbowe au Lowassa au wote kwa pamoja bado itasimama na hamuwezi amini.Chadema hata akiwekwa mnyika au Lissu kuwa mwenyekiti bado itakuwa imara.

Kuibomowa chadema lazima chama mbadala kije kwa kasi kubwa, kln ACT sijui CUF hawana uwezo huo.

Tatizo la chadema hawana mikakati ya kiufundi kukamata dola.
Chadema ilishafutwa kanda ya ziwa
 
hahahhahahahhahah....nachokubaliana na wewe hawa wote wao vizuri kwenye fitna tu...Ila Kiuongozi ni watupu sana
 
Mkuu Kikwete ni zaidi ya unavyomfikiria,mpe heshima yake tafadhali, yule ni level za kina Don Corleone.
 
Back
Top Bottom