Mbowe: Kauli ya Mbatia kuhusu wabunge wa UKAWA kurudi Bungeni ni hisia zake

Tatizo la Mbowe anajiona ndio Mungu wa vyama vyote vya upinzani.
 
mambo ya cuf yanakuja.Chadema wamefanya kila hila kuiwa Cuf na vyama vinavyounda ukawa
 
By the way, nilisikia Mwenyekiti anadaiwa na NHC kodi ya zaidi ya Bilioni moja na muda wa mwisho ilikuwa leo. Hili nalo lina ukweli wowote? Mwenye taarifa za uhakika atupatie.
 
Hivi Clouds Radio si ambayo Mtukufu anaipenda kusikiliza na huwa anawasalimu watangazaji WOTE au ni ipi?????????????
 
Mbowe anapaswa kujua Mbatia ni mwenyekiti mwenza wa UKAWA. Na anapaswa kujua kuwa wamebaki wawili (Mbowe na Mbatia) tu kama mayai ya njiwa. Akijiona bora kuliko mwenzake, UKAWA itageuka UKIWA soon.
 
unasikiliza radio ya masho**
 
Utawala wa kambale....baba sharubu,mtoto sharubu,familia nzima sharubu.
 
CLOUDS NI CCM HAWANA JIPYA HAO,UNGENAMBIA BBC SAWA

BBC ni Chadema sababu chadema ni mamluki wa nchi zinazowafadhiri ili nchi yetu ipate maafa. MUNGU awalaani wanaotumiwa ndani ya chadema
 
Clouds hovyoo kabisaaa usiwaamini mkuuu, amini kwa upande Wa burudani na michezo tuu!!
Hapana ni kwenye michezo tu. Kwenye burudani ni wanafiki na wakandamizaji ndio chanzo cha kuibuka kwa kundila Antivirus, Hata Juzi Ruby kajitoa Fiesta huko Mwanza kwa sababu ya kunyonywa kimasilahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…