Kiaje!?Chadema kweli wamichoka
Ha ha ha! Mwaka 2015 hawatakaa wausahau hawa MAGAMBA.kazi ya mwaka Jana hiyo cheki makadi ya kijani yalivyojaa huyo ni mfuasi wa cuf akionyesha kadi za ccm walizoacha wanaccm hapo ni kwa mheshimiwa Fulani jina kapuni
Kiaje!?
kuzuia kuonesha Bunge siyo sera. Wewe ukisikia neno sera unajua ni nini?Wanagomea sera zao, sera zao zinatekelezwa wao wanapinga kwa kutoka na kuzira bungeni eti hawaungi mkono sera zao.