Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Unanukuu mamluki wenu, nukuu kamusi inayoeleweka
 
hasira ya mpiga dili. dili linatibuka
 
tusubiri mchungaji wa kkkt mbatia naye atamnanga prof soon. sijui ataimbisha wimbo upi.
 
Wewe sio mfuatiliaji wa mambo,,juz lipumba alikituhumu chadema kuwa kinakihujumu cuf,sasa huko sio kumkosea heshima mbowe???
 
Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
prof ataacha kutukanwa wakati hana uwezo wa kujiajiri anaendeshwa kama gari bovu. ukiendekeza njaa hata uwe na elimu kiasi gani ww ni boya tu.
 
You talking about CV?? you guy you are not serious at all,,, sasa lipumba anayofanya yanaendana na CV yake??? Kama uprofesa nikama huu wa lipumba basi siuhitaji tena huo uprofesa
 
Yaani mm mwenyewe nina mashaka na Elim ya lipumba

Anyway nisimseme sana inaweza kuwa ni ukosefu wa ajira ndio unafanya afanya mambo hayo
 
Na wala hujamsikia Lipumba akijaribu kuhusisha kwa namna moja au nyingine Chadema katika kinachoendelea CUF, siyo?
 
Kwani ana heshima?
 
Mbowe akili zake zitarudi sawa sawa pale Fedha za Lowasa zitakapo kwisha.. Lowasa ni kirusi upinzani... Ila Fedha zake ndio zinamlinda
Leta prove Kama kweli lowasa nahawa pesa chadema,au otherwise nawewe ni irrelevant Tanzanian
 
Ni ngumu sana kwa division zero kumuelewa na kumuelezea profesa

div 0 __tajiri kawaajiri Maprofessor..
proff __mchumia tumbo na sasa anaishi kiseja ndani ya office..
 
Hata ww ukiwa una mambo ya kitoto basi usubiri watoto wako kukwambia jambo lolote lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…