Mbowe kakimbia ofisi?

Mbowe kakimbia ofisi?

Mwenyekiti wa Chadema amepotelea wapi? Tangu atoe tamko lililokosa mvuto katoweka kwenye viunga vya Ufipa.

Yeyote mwenye taarifa za nguli huyo wa kubadili gia angani atoe taarifa.
Mbowe yupo kwenye ziara za kata zote kwenye Jimbo lake la Hai..

Na nyie Mkiti wenu yupo wapi??

Bombardier imempa za uso...hahhahahahaahah..

Ujanja wote mfukoni..

Alifikiri kununua Ndege kwa kuchota pesa zetu bila idhini yetu kupitia Bunge na kutofata Sheria ya Manunuzi ndio ujanja..!!??

Ona alivyoona aibu hata Rwanda kashindwa kwenda wakati role model wake alipokuwa anaapishwa..

Haya wale wa meli ya samaki aliyoikamata wanadai Mabilions mengine na hukumu ilishatoka walipwe..

Yani huyu ni mtu wa kuitia hasara tu hii Nchi..

Utasikia sasa hivi na Boing Dreamliner limedakwa hukohuko kwa Manufacturer.
 
Ha ha ndege inakuja dogo,wewe endelea kupiga ramli. Hatahivyo Tundu kapewa siku saba kufuta kauli ya dhihaka dhidi ya Raisi kuwa alivunja mkataba
 
Mtamfanya nn?

6b851c2f2efbb605f1b5cbda66e932c6.jpg

Alafu MBNA hamueleweki nani msemaji wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaimu Mwenyekiti Madam Kamanda Sepetunga anaendelea na Majukumu Kama kawa na Mh. Sumaye ndie kateuliwa kuwa Muandaaji wa Mikutano ya hadhara ya Mlimbwende huyo Mstaafu
 
Mbowe yupo kwenye ziara za kata zote kwenye Jimbo lake la Hai..

Na nyie Mkiti wenu yupo wapi??

Bombardier imempa za uso...hahhahahahaahah..

Ujanja wote mfukoni..

Alifikiri kununua Ndege kwa kuchota pesa zetu bila idhini yetu kupitia Bunge na kutofata Sheria ya Manunuzi ndio ujanja..!!??

Ona alivyoona aibu hata Rwanda kashindwa kwenda wakati role model wake alipokuwa anaapishwa..

Haya wale wa meli ya samaki aliyoikamata wanadai Mabilions mengine na hukumu ilishatoka walipwe..

Yani huyu ni mtu wa kuitia hasara tu hii Nchi..

Utasikia sasa hivi na Boing Dreamliner limedakwa hukohuko kwa Manufacturer.
Pia nami niongeze yangu
Kinana yuko wapi
Polepole yuko wapi

Na kile kibiri cha kutafuta kiki kila iitwapo Leo kumbe alitusababishia hasara watu wakamsubili kwenye kona

Ukweli ambao labda hata yeye jpm haujui ni kwamba kuna watu kule ndani ya sistimu wamemchoka ndio maana kila kitu wanamwachia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa Chadema amepotelea wapi? Tangu atoe tamko lililokosa mvuto katoweka kwenye viunga vya Ufipa.

Yeyote mwenye taarifa za nguli huyo wa kubadili gia angani atoe taarifa.
tuko bize na bombadia!

hii sio habari kwa sasa
 
Mwenyekiti wa Chadema amepotelea wapi? Tangu atoe tamko lililokosa mvuto katoweka kwenye viunga vya Ufipa.

Yeyote mwenye taarifa za nguli huyo wa kubadili gia angani atoe taarifa.
Mnatutapeli kila kukicha na makelele yenu yasiyoisha, mnatafuta fent ford kumbe ni wizi mtupu.
 
Back
Top Bottom