Mbowe kakimbia ofisi?

Mbowe kakimbia ofisi?

IMG_20170821_220743_467.JPG
 
kama unataka tuonyeshe uzalendo mwambie sizonje aanze yeye kuonyesha kwa kuwapa wanachi uhuru wa kuongea yanayo ihusu inji yao bila kamatakmata ya kijinga. maana mkiambiwa ukweli tu skuizi mnageuza mnasema uchochezi afu mnasema hatuna uzalendo mnataka uzalendo upi... mnaofanya nyie wa kuwafunga kamba za viatu na kutoa skamoo mkuu!!! shame!!!
Kumbe unataka uhuru wa kuongea?
 
Ha ha ndege inakuja dogo,wewe endelea kupiga ramli. Hatahivyo Tundu kapewa siku saba kufuta kauli ya dhihaka dhidi ya Raisi kuwa alivunja mkataba
Masikini wa Mungu! Mbunge wa viti maalum ni kama mzee Chakubanga aka slowslow. Hamna habari kuwa ile karatasi yenu mliyoandaa kwenye maduka ya stationery serikali imeikana? Huwa mnakuwa wapi viongozi mpaka mnapitwa na habari nyeti kama hiyo? Isijekuwa mnaendekeza ngono hivyo saa zote mnajirusha tuu!
Wakudadavuwa punguza hiyo shughuli unajizeesha bure binti yangu, au fanya usiku tuu.
 
Baby fly to KIA
 
Baby fly to KIA
Naam, wakati wengine wanaambiwa baby fly to KIA wewe nasikia Savimbi aka madilu alikuwa anapigia ofisini pale Lumumba na mlinzi wa kukaa mlangoni ili picha isiungue ni yule aliyetunukiwa uDAS?
 
Haya baby
 
Masikini wa Mungu! Mbunge wa viti maalum ni kama mzee Chakubanga aka slowslow. Hamna habari kuwa ile karatasi yenu mliyoandaa kwenye maduka ya stationery serikali imeikana? Huwa mnakuwa wapi viongozi mpaka mnapitwa na habari nyeti kama hiyo? Isijekuwa mnaendekeza ngono hivyo saa zote mnajirusha tuu!
Wakudadavuwa punguza hiyo shughuli unajizeesha bure binti yangu, au fanya usiku tuu.
anasaka mtoto wa kurithi kazi yake😵
 
hivi watanzania uzalendo umepotelea wapi? yaani mtu anaandika kama hayawani kwa kufurahia kabisa kwamba nchi inapata matatizo kwamba ni jambo zuri kabisa na la kufurahisha. hvi suala kununua ndege ni la maslahi ya nani? ni la mtu binafsi au taifa? kwahiyo ni bora nchi ibaki bila ndege wala shirika la ndege kwasababu kufanya hivyo ni kulitia hasara taifa. kweli uwandazimu una fani siyo lazima kuokota makopo...
Kuna utalatibu wa kufanya hayo,sio kupita na kujigamba ,natoa hela.
Anatakiwa ashirikishe wananchi angalau kupitia wawakirishi wao(wabunge).

Unajisikia laha anapojigamba ,natoa bilion 10 mjenge nyumba za askari magereza ,mnashangilia tu,bila ya kufilia anakozitoa hizo hela.

KIKWETE AMEFANIKISHA KUJENGA NYUMBA ZA WANAJESHI KALIBU KWENYE KILA KAMBI YA JESHE ,LAKINI HAJAWAHI KUTAFUTA KUSIFIWA KWA KIASI HICHO NA UTARATIBU UMEFUATWA.

ukiwa unatafuta uelekeo wa kutua na ndege au ukiwa kwenye jengo lolote lefu kwa dar es Salem na ukiangalia maeneo yenye kambi za jeshi utaona utofauti kwa jinsi majengo yanavyovutia .
Angekua huyo unaemsifia kila siku kuzindua tu na makamera.
 
Nadhani siyo mfuatiliaji mzuri wa masuala ya siasa za Tz. Wakati wa utawala wa JK wabunge hao hao hususan wa upinzani ndiyo waliokua wakilalamikia urasimu wa Serikali na kutotekelezwa kwa baadhi ya Mipango ya Serikali ikiwemo ununuzi wa ndege " Miaka 50 ya Uhuru mpaka leo nchi haina shirika lake la ndege inashindwa na nchi ndogo kama Rwanda ambayo juzi tu imetoka kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe" haya ni baadhi ya maneno ya wabunge wetu. Leo Nchi inajaribu kufufua shirika lake la ndege angalau kwa kuanza kununua ndege zake imegeuka dhihaka na kejeli kutoka kwa wale wale waliokua wakilalamika.

JPM kutoa fedha kwa taasisi za Serikali kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali mathalan Nyumba za askari, hostel za wanafunzi n.k. sioni kama ni jambo baya hasa nikilinganisha huko nyuma fedha hizo zilivyokua zikiishia matumboni mwa watu. Ssa tulitakiwa tujiulize kipi bora hapa? Fedha kutumika kwa maslahi binafsi au ya Umma?

Nadhani Watanzania tunapaswa kuwa makini juu ya namna ya kupima dhamira za watu hasa wanasiasa kuliko kuendeshwa na hisia zinazotokana na malengo yao ya kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom