Mkuu kukua huyu jamaa ni bure kabisa siku zote akiwa kwa jk anajifanya mwema akiwa kwenye majukwaa ya kisiasa analeta uchochezi ili apate sifa za kijinga.Mbowe ameanza kukua sasa.
Simiyu YetuMbowe ni mnafiki akiwa kwenye majukwaa anazungumza uchochezi lakini akikutana na viongozi wenzake anajifanya mwema hafai kanisani wala msikitini.
Mbowe ameanza kukua sasa.
kikubwa arudi darasani!Mbowe ameanza kukua sasa.
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, FREEMAN AIKAELI MBOWE ameviomba vyama vyote vya siasa kuunga mkono Hotuba ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ya kuvitaka vyama hivyo kutanguliza maslahi ya Taifa badala ya maslahi ya vyama vyao wakati wa Bunge la Katiba ambalo wajumbe wake watatangazwa na mh.Rais leo tarehe 07/02/2014 na kuanza rasmi vikao vyake tarehe 18/02/2014 mjini Dodoma.
kikubwa arudi darasani!
Sisi tunataka muundo wa serikali mbili, na huo ndio msimamo wa CCM, "Raisi J M Kikwete 2/2/2014: Mbeya"
Bado hajaanza kukua mkuu,ndio ameanza kujifunza
nadhani na unafiki pia, MBOWE ni bonge la mnafikiti, naungana na simiyu yetu katika hili.
Sijawahi kuona Rais aliyekosa msimamo binafsi kama huyu!
Mbowe ni mnafiki akiwa kwenye majukwaa anazungumza uchochezi lakini akikutana na viongozi wenzake anajifanya mwema hafai kanisani wala msikitini.
Mbowe ameanza kukua sasa.
Mbowe ameanza kukua sasa.