Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
Mkuu nakumbuka huko Zanzibar walianza kwa muafaka na sasa tunaambiwa kwa sasa Zanzibar ni vicheko tu uchumi unapaa, bei ya karafuu imepaaa watu wanachekelea tu kuelekea benki! Maisha yameanza kuwa bora baada ya muafaka. Huenda JK anataka muafaka.
Mimi naona kuna haya ya kusubiri kwa hamu kusikia kutoka kwa Mbowe ili atueleze wamejadili nini na kufikia muafaka gani, Vinginevyo kama ni aina ya majadiliano kama yale ya CUF yaliyosababishwa CUF kumezwa Mbowe atakuwa amefanya kosa kubwa la msingi ambalo litahalalisha CCM kuitawala Tanzania milele.
Dr Slaa,wanaJF na wananchi kwa ujumla,
1. Kikao kati ya JK na Mbowe kilikuwepo na siyo siri.
2. Viongozi wawili wanapokutana siyo lazima kila kitu kiwekwe hadharani. Kuna mambo yanahitaji ushirikishwaji wa ngazi mbalimbali baada ya consultation ya viongozi. Hii ndio misingi ya demokrasia duniani kote.
3. Viongozi Chadema wanajua mkutano huo na ni utekelezaji wa maamuzi ya vikao hivyo hakuna cha ajabu wala cha pekee kati ya Mbowe na JK kama inavyotaka kutafsiriwa na baadhi.
4.chadema ni makini sana. Hakuna usaliti wowote,hakuna cha CCM B au C au mseto unaozungumzwa. Chadema inaamini katika kufanya siasa kisayansi na si kishabiki, au kusukumwa na matakwa ya mtu binafsi, daima maslahi ya umma na Taifa mbele.
Jumapili iliyopita (15 Jan 2015), Rais JK na Mbowe walikutana kwa siri, kilichojadiliwa pia kikawa ni siri. Gazeti la kiukweli la kimombo' The citizen' limetoa nyeti hizo ukurusa wa mbele bila chenga. Mbowe akaulizwa kwa simu, naye akikri kuwa ni kweli walikutana. Alipoulizwa mlijadili nini akapiga chenga, subiri msiba uishe. Gazeti lilipowauliza wasemaji wa ikulu nao wakatoa nje. Lilipomwuuliza Mnyika wa kueneza chama kuhusu sakata hilo naye akasema hana habari.
Maswali CHADEMA wanajua kikao hicho? Kama hapana kwanini? Kama siyo, Mbowe atujibu haraka.
Pili, kikao cha kwanza cha Ikulu ilikuwa public kwanini hii ya Mbowe aifanye siri peke yake?
Je, JK anamshawishi Mbowe aikubali mchakato feki wa katiba?
Je, kati yao Jk anawasaliti CCM au Mbowe anasaliti CHADEMA?
wanaJF na wananchi kwa ujumla,
1. Kikao kati ya JK na Mbowe kilikuwepo na siyo siri.
2. Viongozi wawili wanapokutana siyo lazima kila kitu kiwekwe hadharani. Kuna mambo yanahitaji ushirikishwaji wa ngazi mbalimbali baada ya consultation ya viongozi. Hii ndio misingi ya demokrasia duniani kote.
3. Viongozi Chadema wanajua mkutano huo na ni utekelezaji wa maamuzi ya vikao hivyo hakuna cha ajabu wala cha pekee kati ya Mbowe na JK kama inavyotaka kutafsiriwa na baadhi.
4.chadema ni makini sana. Hakuna usaliti wowote,hakuna cha CCM B au C au mseto unaozungumzwa. Chadema inaamini katika kufanya siasa kisayansi na si kishabiki, au kusukumwa na matakwa ya mtu binafsi, daima maslahi ya umma na Taifa mbele.
Nachukia Ufisadi: Matusi, Uongo, Tetesi na Majungu pia ni Ufisadi; Tujitenge Navyo:rain:
wanaJF na wananchi kwa ujumla,
1. Kikao kati ya JK na Mbowe kilikuwepo na siyo siri.
2. Viongozi wawili wanapokutana siyo lazima kila kitu kiwekwe hadharani. Kuna mambo yanahitaji ushirikishwaji wa ngazi mbalimbali baada ya consultation ya viongozi. Hii ndio misingi ya demokrasia duniani kote.
3. Viongozi Chadema wanajua mkutano huo na ni utekelezaji wa maamuzi ya vikao hivyo hakuna cha ajabu wala cha pekee kati ya Mbowe na JK kama inavyotaka kutafsiriwa na baadhi.
4.chadema ni makini sana. Hakuna usaliti wowote,hakuna cha CCM B au C au mseto unaozungumzwa. Chadema inaamini katika kufanya siasa kisayansi na si kishabiki, au kusukumwa na matakwa ya mtu binafsi, daima maslahi ya umma na Taifa mbele.
wewe tatizo lako unafikiri kwa kutumia....any way,hujui historia ya chadema na hujui dunia inavokwenda.chadema ni ya wachaga hivyo huwezi kumchagulia mbowe cha kuongea na rais.suala la katiba walianzisha cuf na kuhusu posho kamuulize shibuda na joseph selasini watakufahamisha vyema.Naamini Mbowe hawezi kuingia katika mtego wa kusaliti watanzania. Lazima ajue kwamba CHADEMA sio yake ni ya watanzania ambao wengi wao wana hali mbaya kiuchumi na wana imani na CHADEMA kwamba itawaondoa kwenye huu ufisadi.
Luck enough CCM wenyewe sasa wanaumbuana na katika mambo wannayoumbuana mengi yameibuliwa na CHADEMA. Mfano ufisadi, posho za vikao, kupanda kwa posho, muswada wa katiba mpya n.k hakuna chama kimewahi kuwa effective kuibana serikali kama CHADEMA tuache ushabiki. Ndio maana wenye wivu hujiunga na CCM hata bila kupenda.
Mkuu Mbowe usituangushe
Walikuwa wanaongelea kupanda kwa bei ya samaki pale samaki samaki