Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
Ndugu zangu,
Huu utaratibu wa Chadema na Mbowe ni mpya katika ulimwengu wa siasa,yaani mwenyekiti anakikopesha chama kisha anakata ruzuku ili "kuridhisha pesa zake".Kwa hakika huu ni ujasiriasiasa ni aina mpya ya ubunifu katika kujipatia fedha katika siasa hasa pale wajanja na makanjanja wapogundua wafuasi ni mazwazwa.
Kwa haraka haraka nimejiuliza maswali yafuatayo;
Riba ya mkopo ni asilimia ngapi?
Muda wa marejesho ni miaka mingapi?
Dhamana ni nini?
Katiba ya Chadema inaruhusu?ni kifungu kipi?
Ni kikao kipi kiliidhinisha ukopaji?Je mkopeshaji alikuwa sehemu ya walioidhinisha?
Je akija mwenyekiti mwingine atakubali kulipa madeni yasiyo na vielelezo?
Unaweza kutafakari zaidi Ila hili jambo linastahili mjadala wa kina.