Mbowe ana busara sn sema Halima alikuwa anajiona ni mkubwa kuliko CHADEMAKuhusu kauli ya Halima Mdee kusema kuwa maamuzi ya kuwafukuza uanachama wa CHADEMA ni "NI YA KIHUNI", Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema hajui chochote lakini maamuzi yaliyofanyika yamefanyika mbele yao wenyewe wakiona, hivyo Mdee aache mambo ya kihuni.
Nilipokuwa gerezani nilimwomba John Mnyika amlete Halima Mdee. Alikuja na Bulaya,niliwahisii sana. Niliwauliza nani aliwadanganya? Nilimwambia kama unataka kazi niambie nitakutafutia kazi hata nje,utalipwa vizuri achana na Ubunge.Nipo gerezani namuwaza Halima" anasema Mh.Mbowe
Tena sn jamaa ana busara kupita kiasiMbowe ni mtu mwenye hekima
Kwakifupi jamaa ana utuTena sn jamaa ana busara kupita kiasi
Hilo si awafanyie vijana wengi tu wanaochakaa kitaa, au ni Halima pekee ndio anaweza kupata hio fursa kutoka kwake ?Kuhusu kauli ya Halima Mdee kusema kuwa maamuzi ya kuwafukuza uanachama wa CHADEMA ni "NI YA KIHUNI", Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema hajui chochote lakini maamuzi yaliyofanyika yamefanyika mbele yao wenyewe wakiona, hivyo Mdee aache mambo ya kihuni.
Nilipokuwa gerezani nilimwomba John Mnyika amlete Halima Mdee. Alikuja na Bulaya,niliwahisii sana. Niliwauliza nani aliwadanganya? Nilimwambia kama unataka kazi niambie nitakutafutia kazi hata nje,utalipwa vizuri achana na Ubunge.Nipo gerezani namuwaza Halima" anasema Mh.Mbowe
Ajabu ina maana Mh. Mbowe ni agent wa kutafutia watu kazi mpaka nje ya nchi??? Dah hakika uzi wa yoga umeumbua huu umoja kifisadi. Mbowe si mtu wa kumkabidhi nchi ataiuzaKuhusu kauli ya Halima Mdee kusema kuwa maamuzi ya kuwafukuza uanachama wa CHADEMA ni "NI YA KIHUNI", Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema hajui chochote lakini maamuzi yaliyofanyika yamefanyika mbele yao wenyewe wakiona, hivyo Mdee aache mambo ya kihuni.
Nilipokuwa gerezani nilimwomba John Mnyika amlete Halima Mdee. Alikuja na Bulaya,niliwahisii sana. Niliwauliza nani aliwadanganya?
Nilimwambia kama unataka kazi niambie nitakutafutia kazi hata nje,utalipwa vizuri achana na Ubunge.Nipo gerezani namuwaza Halima" anasema Mh.Mbowe
Wewe binti una visa sanaAjabu ina maana Mh. Mbowe ni agent wa kutafutia watu kazi mpaka nje ya nchi??? Dah hakika uzi wa yoga umeumbua huu umoja kifisadi. Mbowe si mtu wa kumkabidhi nchi ataiuza