Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
Kitendo cha mbowe kukaa kimya taratibu za bunge zikikiukwa kama serial nos ktk balot paper mpaka mh.lissu na mh.mnyika kusimama inaonyesha udhaifu wake mapema na kutojua yuko pale kufanyanini. Muda woote alikua anatoa macho na ataendelea kusaidiwa na lissu mpaka lini wakati ile ni jukumu lake

Matukio ya leo yalikua muhimu sana kwa yeye kuonesha umahiri na umakini, na hata spika alipolazimisha tundu lissu anayamaze bado alikua na nafasi ya kusimama na kuongea lakin hakufanya.

Ivi hii web ukiifungua mwanzoni inaandika "Great Thinkers.." alaf inakuwaje wasiofikiri wanafika jamvini? Kama uyu anasema kuwa kiongoz wa kambi ya upinzani ndo wa kwanza kukemea kila kitu inamaanisha kuwa wengne hawaruhusiwi kuongea mpaka aseme yeye tu? Pekueni muone kazi za KUB msiropoke kumkandia mbowe,sawa?
He/she might be a GREAT SINKER! Amekosea si jamvi lake labda, msamehe bure....
Kaanzishe Bunge la Familia yako(Wewe,Mkeo na Watoto) afu wewe ndo uwe Msemaji Mkuu.Mbunge yoyote wa Chadema yupo huru kutoa hoja yake na Mchango wake c kama hicho chama chenu ruhusa hadi itoke kwa Bogus Makamba.Wale hawapo pale kuuza sura ka unavyotaka wewe,hatutaki m2 wakumanipulate madaraka yoyote mwenye hoja anafunguka tu.Kitendo cha mbowe kukaa kimya taratibu za bunge zikikiukwa kama serial nos ktk balot paper mpaka mh.lissu na mh.mnyika kusimama inaonyesha udhaifu wake mapema na kutojua yuko pale kufanyanini. Muda woote alikua anatoa macho na ataendelea kusaidiwa na lissu mpaka lini wakati ile ni jukumu lake