M Molemo JF-Expert Member Sep 24, 2010 14,534 13,225 May 22, 2012 Thread starter #161 sanjo said: Hii ni habari njema ili kuwapa somo watu wa Dar es Salaam. Click to expand... Tena watapata somo la uhakika
sanjo said: Hii ni habari njema ili kuwapa somo watu wa Dar es Salaam. Click to expand... Tena watapata somo la uhakika
M Mrume Member Oct 29, 2011 33 7 May 22, 2012 #162 Tuko pamoja wana wa CDM shime shime twendeni tukawasikilize makomandoo wetu na watetezi wa Taifa hili, na pia watueleze ni lini watakitoa kirusi kilichoingia ndani ya CDM (Shibuda)
Tuko pamoja wana wa CDM shime shime twendeni tukawasikilize makomandoo wetu na watetezi wa Taifa hili, na pia watueleze ni lini watakitoa kirusi kilichoingia ndani ya CDM (Shibuda)