Kama CCM kwa Singasinga SETH au! Wazee wa ESCROW! Imewabamba!Wasije kuuza nchi kwa wakoloni
Wasije kuuza nchi kwa wakoloni
Tulia ikuingie vizuri mbona unakwepesha wewe! Acha uoga!Watupe na mrejesho wa safari ya vibaraka wao Ujerumani
Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA leo ambapo viongozi wakuu wa chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa wanatarajiwa kuzungumza na wananchi kupitia waandishi wa habari.
Viongozi hao wanatarajiwa kutoa maazimio ya Kamati Kuu ya dharura iliyokutana jana jijini DSM.
Mkutano huo wa wanahabari utafanyika makao makuu ya CHADEMA Kinondoni DSM kuanzia saa 6 mchana!
Walete takwimu za ushindi za UKAWA maana CCM wanatanganza matokeo wenyewe.
Escrow ni pesa za umma au sio!Watupe na mrejesho wa safari ya vibaraka wao Ujerumani
Ipi bora! Kuuza kwa singa singa mwizi ama wazungu waleta maendeleo!!Wasije kuuza nchi kwa wakoloni
Kwahyo unatenganisha ili hela iongezeke,sidhani kama Nnape ni mjinga kiasi hiki hadi alipe post kama hizi kila moja buku saba....!!!!!!