Mbowe: CCM ni Mbugi

mkuu mwanadiwani, vip update za nzega, ujarusha hapa jukwaani, mapictures
Ndugu, sipendi kuharibu thread ya mleta mada lakini Unaweza kutembelea hii thread hapa chini na kupata unachokiulizia.


Baadhi ya picha za mkutano ni hizi,


Wananchi wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Kinana akihutubia katika mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Itobo.
 
Huelewi kwasababu umepakuliwa asubuh hii xo unaona mawenge tu,

Unamwonea wivu mama yako? Peleka na wewe akuzini

Kama kamzini mama yako, atafurahia tu

Mzinifu ni mama yko na baba yako walifapo fanya mapenz choon wakakuza ww xo ww ni mtoto wa mzinifu!!

Mbowe ni mzinifu. Je akiitwa hivyo atafurahia au atachukia?

Wakuu mnaishushia hadhi JF.
 
Ni kweli Mkuu. Hasa huyu msanii Mbowe! Ni kilaza kweli.

Huyu jamaa huwa anafikiria kupitia tundu yake ya nyuma sitarajii mapya kutoka kwake kama ilivyo kwa baadhi ya vihiyo waliopo CCM ambao hawajui ni nyeusi ngoja ibakie nyeusi bali wanalazimisha kuwa nyeupe, thats means hawasomi alama za nyakati hatimae wanatuharibia chama chetu.
 
we msengerema unajenga hoja gani mama wewe. Hivi hamuoni mateso tuyapatayo watanganyika wenzenu apa kwa MUNGU kama kweli huyaoni
 
Nashangaa sana jinsi ambavyo ccm imejizatiti humu jf. Kina Lizaboni and co wana kazi moja tu. Kuhakikisha hakuna mtu anapata nafasi kuifuatilia thread yeyote ile inayokwenda kinyume na maccm. Wataibuka ghafla na neno sijui wanalitoa wapi tena nje kabisa ya mada na kulisisitiza mpaka mnatoka nje ya mada. Oh! Poor maccm.
Mh. Mbowe kasema, CCM ni Mbugi. Hiyo Ndo mada yetu na ndivyo mlivyoooooo full stop
 
Mzinifu ni mama yko na baba yako walifapo fanya mapenz choon wakakuza ww xo ww ni mtoto wa mzinifu!!

Dj Mbowe haaminiki, ni sawasawa na macho yake, anaangalia kushoto kumbe anaona kulia. Anachokiongea sio anachikimaanisha!
 

Wakitoka hapo, mbona hukutuonesha ile pilau na mchele mweupe na nyama za Tembo wasi tena na meno?????
Vipofu mpaka kaburini nyie
 
Hiki siyo chama bali ni genge la wasaka tonge, kila mmoja huwa anatoka na kauli yake anavyotaka. Hovyo kabisa!
 
Kinachoonekana hapa ni Mbowe kujitafutia umaarufu baada ya kuona kuwa Prof anatamba
Kweli na wewe mbugi! mara una hamu ya kuzini na mbowe mara una hamu ya umaarufu MBugi mbugi mkubwa!!
 
Lizaboni, sasa hapo umejenga hoja gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…