Mbowe: CCM ni Mbugi

Mbowe: CCM ni Mbugi

Kinachoonekana hapa ni Mbowe kujitafutia umaarufu baada ya kuona kuwa Prof anatamba

Mkuu hebu ainisha cho chote cha uongo alichosema Mbowe kwenye hoja yake!

Kama yote aliyosema ni kweli anajitafutia vipi umaarufu?!
 
ccm ni mbugi kweli ic mfano mzuri........na umeelezewa vizuri nadhani kila mtu kaelewa wamejichnganya wenyewe
 
Mbowe ni mzinifu. Je akiitwa hivyo atafurahia au atachukia?
kuhusu uzinifu kuna watu wanashikilia records mbaya sana humu nchini, kama mnataka tuanze kutajana mmoja mmoja tuone kama tutafika. Kuna wengine walishtukiwa hadi na waasisi ila wamo kwenye Mbugi.
 
Mbowe ni mzinifu. Je akiitwa hivyo atafurahia au atachukia?

Wewe kama ni mwanaume nakuhurumia unafanya tofauti na wanaume....suala la uzinzi kwa wanaume huwa halina nafasi ya kujadiliwa kama topic linabaki historia na maisha binafsi: reference, kasome Clinton impeachment and Mandela reaction! Ila kama wewe mwanamke karibu tujadiliane maana hayo tunaruhusiwa.
 
Teteeni hoja ya mume wenu badala ya kukimbilia porojo zisizo na msingi

Mkuu hawa wameshakuwa addicted na Gongo, ndiyo maana majibu yao yanafanana, babu slaa ameharibu kizazi cha kesho.
 
Mkuu, sina sababu ya kuwatafutia watu ban. Wao wamehiari kutukana sisi tunajenga hoja. Nadhani sikueleweka hapo. Mbowe na Lipumba wamekuwa maarufu sana wa kuwapachika majina mabaya wenzao tena kwa matendo wasiyofanya. Wao wanafanya matendo mabaya kama ya uzinifu na...... Na jamii inajua. Tukiwaita majina mabaya ya matendo yao mabaya tutakuwa tunakosea?

Ili kuondoa huu ubishi hebu bandika picha mbili tatu za watoto wa nje wa Mbowe au kiongozi yeyote wa CDM. Haafu pia wenye picha za watoto wa nje wa viongozi wa CCM wazibandike hapa tuone nani zaidi
 
Mbowe ni mzinifu. Je akiitwa hivyo atafurahia au atachukia?
Kazini na mkeo? Kama unaushahidi si umpeleke mahakamani? Mahakama pekee ndiyo inaweza kutamka hayo kwa ushahidi usiokuwa na shaka. Otherwise ni ujinga na upinda kusema hivyo!
 
CCM IMEKUFA INANUKA IMESHAOZA KABISA WALIO BAKI NI KUNGURU WEUSI WALA MIZOGA:embarassed2:
 
Duh! Eee bhana eee !

YANII VIONGOZI WALIO BAKI CCM NI MASALIA YA MIZOGO LINI ULIWAHI KUSIKIA WAKIONGEA KITU CHA MAANA UTASIKIA TUTAINGIA MSTITUNI MARA UDINI MARA UKABILA CCM ILISHA KUFA KWA MTU AMBAE KICHWANI ZIPO NA SIYO MCHUMIA TUMBO HUWEZI KUPINGA HILO :embarassed2:
 
Sifa nyingine ya Mbugi huwa hauna jezi upande mmoja unavua shati, wengi hucheza peku, ngumi mkononi na hakuna kadi na ukifungisha utafukizwa uwanjani kama hujala ngumi
 
Sifa nyingine ya Mbugi huwa hauna jezi upande mmoja unavua shati, wengi hucheza peku, ngumi mkononi na hakuna kadi na ukifungisha utafukizwa uwanjani kama hujala ngumi.Aaaah aaaaah! ccm ni Mbugi!!! Mbowe bwana!!!!!
 
Back
Top Bottom