Mbowe: CCM ni Mbugi

Mbowe: CCM ni Mbugi

CCM hawajui jana waliongea nini,leo wataongea nini n akesho wataongea nini...?Watanzania wakitaka jua sisis wataongea nini..wawasikilize CDM wakiongea..then watasikia reactions za kijinga za CCM.
 
Ndugu, sipendi kuharibu thread ya mleta mada lakini Unaweza kutembelea hii thread hapa chini na kupata unachokiulizia.
B]l

Baadhi ya picha za mkutano ni hizi,
IMG_1146.JPG

IMG_1227.JPG

Wananchi wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Kinana akihutubia katika mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Itobo.

Hizi jezi zinatoka wapi?

Huku vijijini hela zipo kwani inapendeza kuona watu wakiwa wame-match.

Ifike wakati waache kulia umaskini kwani pesa zipo za ziada hadi wananunua jezi.
 
Chadema no mbunye

KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amekifananisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mchezo wa ‘Mbugi’.
Wakati Mbowe akiwaita CCM Mbugi, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba aliwaita CCM Intarahamwe.
Kwa mujibu wa Mbowe, Mbugi ni mchezo wa soka usio na sheria, wala refa.
Alisema kwenye mchezo wa Mbugi hakuna idadi kamili ya wachezaji, kila mchezaji akiingia anachezea timu anayotaka, katikati ya mchezo anaweza kubadilisha timu na kuchezea timu nyingine.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza Baraza jipya la Mawaziri Kivuli lenye ya wajumbe wa UKAWA, Mbowe alisema wanachosema na kufanya CCM kwa sasa ni sawa na Mbugi, kwani hawana kanuni na kila mtu anaweza kusema anachotaka.
Alisema hivi karibuni kumekuwa na kauli na misimamo tofauti kuhusu UKAWA zinazotolewa na viongozi mbalimbali wa chama hicho.
Akitolea mfano alisema hivi karibuni Kamati Kuu ya CCM ambayo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ni mjumbe, wamepitisha azimio la kutoshughulika na UKAWA kwani wameamua kutoka kwenye Bunge Maalumu la Katiba.
“Pinda huyo huyo akihitimisha hotuba yake, anawasihii UKAWA kurudi bungeni. Juzi Waziri wa Ofisi ya Rais (Mahusiano), anasema UKAWA walitoka bila sababu, watarudi bila sababu, lakini ukimsikiliza Nape Nnauye na Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana wanasema UKAWA wasibembelezwe, waachwe wabaki nje ya Bunge. Hii ni Mbugi.
“Kinana kaja kavua shati kaingia kwenye Mbugi, Nape naye Mbugi, Wassira katoa shati kaingia kwenye mchezo Mbugi, hawana kanuni, sheria. CCM ni Mbugi,” alisisitiza Mbowe.
 
Chadema ni mbunye.

huyo ndio baba freelady...mbowe ni msanii sana..amewauzia chadema magari mabovu kwa bei ya juu..... Wabunge wa viti maalum amewafanya nyumba ndogo...ameuza jimbo la musoma vijijin kwa nimrod...amejimilikisha gazeti la tanzania daima....amejaza wachaga makao makuu....amepewa rushwa na rostam.
 
Mkuu hawa wameshakuwa addicted na Gongo, ndiyo maana majibu yao yanafanana, babu slaa ameharibu kizazi cha kesho.

kwa wanaume wa ukweli swala la kuzini ni la kawaida labda kwa majike kama wewe ndo inshu,jadili hoja kuhusu mbugi!
 
Tukusema Mbowe anamiliki danguro itakuwa uongo?

kama anamiliki danguro na serikali yako sikivu ipo,tukisema kuwa ni dhaifu na goigoi tutakuwa tumekosea??? Kwa mpuuz kama wewe na misukule wenzio hamuwezi kuliona hilo,njaa imewapofusha akili.
 
Back
Top Bottom