Mbowe bado tunakuhitaji chadema hadi utakapo taka kuondoka

Tunakuhitaji bado kwani utumishi wako umetukuka, mbowe kaongoza chadema tangu 2004, hiki ni kipindi chake cha pili kinachoisha 2014, ni mwaka wa 9 sasa, na bado chama kinamuhitaji maana ameonesha utumishi uliotukuka hatuhitaji ccm watuchagulie kiongozi wetu ndani ya chama chetu. Tutamtaka hata aongoze miaka yote kwani anayo nia ya dhati ya kuwakomboa watanzania. Ni tangu lini chama cha siasa kikachaguliwa kiongozi na chama kingine? Ni kwa nini ccm hawamtaki mbowe wanamtaka zitto? Huhitaji shule kubwa kujua siri iliyopo hapa kwa zitto.

mwanachama kama wewe hufai na janga kwa chama na huna tafauti na watoto wa Lumumba wanaoamrishwa na mabwana zao wa ccm,,,wewe mbowe ni bwana wako????

Ccm ndio wanapiga kura kuchagua mwenyekiti wetu? Yaan tusichague kiongoz mwingne tafaut mbowe kisa tu kuwaogopa ccm? Hivi kwa katiba gani wataka mbowe awe kiongoz wa milele??? Au ndio kawatuma muandike huu utumbo kwenye mitandao? Mmeshafanya mbowe mjinga?? Kwa hivyo mnaamua sasa kuumpa sifa za kijinga? Kwasababu ni mjinga pekee ndio ataambiwa kuwa atatawala milele katika ulimwengu wa demokrasia na mabadiliko.

Mbowe ndio kawafundisha kuimba nyimbo za usaliti bila kuzingatia hoja za wasaliti? Mbowe ndio kawafundisha kujadili mtoa hoja badala ya hoja? Hivi kwanini mnapenda kumdhalilisha mwenyekiti wetu? Hivi kwanini mnatulazimisha tuamini kuwa Mbowe naye ana mkakati wake mchafu wenye lengo la kumbakisha madarakani?

Acheni ushabiki wa kimbulumundu,, tusimamie misingi ya chama na katiba, kinyume chake hamtakuwa tafauti na watoto wa Lumumba.
 
Mbowe usithubutu kumwachia yule kaisari chama

atatuuza..........zzk n hatar sana amejawa na ubnafs,kbur,dharau,utajir wa dhuluma
 
Kile kipengele cha ukomo wa kushika madaraka katika uongozi wa juu katika chama ni lazima kirejeshwe kiamilifu kama ilivyo kuwa awali. Kipngele hiki kiheshimiwe.

mnamwogopa mbowe na slaa: eti real madrid waiambie ile timu ingine, mtoeni drogba, drogba hafai mtoeni!!!!!
 
ndio waziri mkuu wa 2015 rais hakiwa dr slaa wa JMT

Hahahaaa mbavu zangu....mkuu utasubir sana,kwa mwendo wa kifedhuri,ubabe,chuki,ubaguz na ufisadi wa viongoz wenu wakubwa wa chama CCM itatawala milele...Demokrasia ya kwel inatokea pale penye mkinzano wa kifikra na kuelewana bila shari tofaut na hapo demokrasia hakuna....
 
Tatizo hapa ni kwamba CCM wanaona kabisa CDM ikiendelea kuwa chini ya uenyekiti imara wa Mbowe hakika 2015 kinang'oka. Sasa wanatumia mbinu za porini kutaka mbowe aondoke. Wanashindwa kujua kwamba CDM kuna majembe mengi. Hebu fikiria hazina hizi:
1. Mh. Msigwa
2. Mh. John Mnyika
3. Mh. G. Lema
4. Prof. Safari
5. Mh. Halima Mdee
6. Prof. Baregu
7. Mh. Wenje
8. John Mrema
9. M/kiti BAVICHA taifa
10. Mh. Machemli
 
Lissu yuko wapi?
 
Tunakuhitaji bado kwani utumishi wako umetukuka, mbowe kaongoza chadema tangu 2004, hiki ni kipindi chake cha pili kinachoisha 2014, ni mwaka wa 9 sasa, na bado chama kinamuhitaji maana ameonesha utumishi uliotukuka hatuhitaji ccm watuchagulie kiongozi wetu ndani ya chama chetu. Tutamtaka hata aongoze miaka yote kwani anayo nia ya dhati ya kuwakomboa watanzania. Ni tangu lini chama cha siasa kikachaguliwa kiongozi na chama kingine? Ni kwa nini ccm hawamtaki mbowe wanamtaka zitto? Huhitaji shule kubwa kujua siri iliyopo hapa kwa zitto.
Eti hawa wajinga jinga wanataka nao uenyekiti. Tabu kweli.
 
mwanachama kama wewe hufai na janga kwa chama na huna tafauti na watoto wa Lumumba wanaoamrishwa na mabwana zao wa ccm,,,wewe mbowe ni bwana wako????

Ccm ndio wanapiga kura kuchagua mwenyekiti wetu? Yaan tusichague kiongoz mwingne tafaut mbowe kisa tu kuwaogopa ccm? Hivi kwa katiba gani wataka mbowe awe kiongoz wa milele??? Au ndio kawatuma muandike huu utumbo kwenye mitandao? Mmeshafanya mbowe mjinga?? Kwa hivyo mnaamua sasa kuumpa sifa za kijinga? Kwasababu ni mjinga pekee ndio ataambiwa kuwa atatawala milele katika ulimwengu wa demokrasia na mabadiliko.

Mbowe ndio kawafundisha kuimba nyimbo za usaliti bila kuzingatia hoja za wasaliti? Mbowe ndio kawafundisha kujadili mtoa hoja badala ya hoja? Hivi kwanini mnapenda kumdhalilisha mwenyekiti wetu? Hivi kwanini mnatulazimisha tuamini kuwa Mbowe naye ana mkakati wake mchafu wenye lengo la kumbakisha madarakani?

Acheni ushabiki wa kimbulumundu,, tusimamie misingi ya chama na katiba, kinyume chake hamtakuwa tafauti na watoto wa Lumumba.
Rangi moto unajishusha, hii ni haki ya wanachama wote na mbowe mwenyewe, kwa mujibu wa katiba ya 2006.
 
Back
Top Bottom