Mbowe awekewa pingamizi CHADEMA

Nje ya CHADEMA, Mbowe hana umaarufu
Of course! Hata Mzee Jommo Kenyatta alishawahi kusema "mkitaka kujua kwamba mimi sio mzee, mulize Mama-Ngina". Watu wa familia yako wasipokuona wewe kuwa ni wa maana, basi walio nje wakikusifusifu ujue wanataka kukuchuna ngozi tu. Hata misahafu inatuambia mtu akitaka kuwa askofu, ni lazima awe anaimudu familia yake..... Sasa wewe unataka awe kama Lyatonga asifiwe sana nje kwa kutumiwa wakati Jogoo lake halionyeshi tija ndani ya uzio wake? Madhara yake si ndo unaona tayari Vunjo sio yake tena sasa, kaiendea kijana asiyepepesa macho kulia na kushoto kukuambia "EEbanaeee, hembu funga zipu yako inadumaza malengo ya Taifa!" hata kama unampa kafa ulaya na kuibuia mazese ili apndeze. Acha banaee, kujikmba na tija ccm tu kwengineko twataka kazi kwanza
 

Hueleweki. Umeshakunywa viroba vingapi?
 
Haa huyo ndo mwenyekiti mtarajiwa wa cdm kazi ipo! Chadema kuweni makini na wagombea wenu!
 
Huwa nikimuona mbowe namdhatau sana hasa mbele ya zitto jamfikii kwa lolote japo kampita umri tu.
 
Mnamo mwaka 2010 #chadema waliwatangazia wananchi kuwa hawamtambui rais dr jakaya kikwete, swali: ni lini chadema wametangaza au walitangaza kuwa wanamtambua rais??? Swali la pili; chadema mwaka 2010 walitangaza kuwa hawatachukua magari ya kifahari, je ni lini chadema walitangaza kwa wananchi kuwa wamechukua hayo magari? Na pia chadema walitangaza mwaka 2010 kuwa hatachukua posho za bungeni, swali je ni lini chadema walitutangazia wananchi kuwa wamechukua hizo posho????

#tutaheshimiana
 
Hili ni kosa kubwa sana hakupaswa kuomba msamaha bali kujiuzuru kabisa.

 
Huwa nikimuona mbowe namdhatau sana hasa mbele ya zitto jamfikii kwa lolote japo kampita umri tu.

Ukimdharau unampunguzia nn?zito kamzidi nn mbowe?wewe na ukoo wako mmemzidi nin mbowe?unamdharau mtu asiekujua wala hajui kama unamdharau we mzima kweli?fuatilia maisha yako itakusaidia sana.
 
Hizi tabia ndio zinashusha sana umaarufu wa vyama vya siasa nchini.ukiangalia historia tokea uanzishwaji wa vyama vingi nchini,utaona kuwa mwanzoni hivi vyama vipya vinaibuka na umaarufu mkubwa sana,na hii ni kwasababu watu wanakuwa bado hawajajua undani,uongozi,uendeshaji na maadili ya hao viongozi.Lakini kadri siku zinavyokwenda inaonekana hakuna chama chenye nia ya kweli ya kuwakomboa watanzania na matatizo waliyokuwanayo isipokuwa kila mtu anaangalia tumbo lake,sera zipo kwenye makaratasi tu.utekelezaji zero,wanasiasa kwa zaidi ya asilimia 90 wanapoingia madarakani sio wapinzani wala watawala wengi wanaangalia maslahi yao...............
 
Mtahangaika saaaaaaana lakini hamtafanikiwa. Mbowe bado ni jembe na bado tunamhitaji kwa miaka mingine
 
 
Kansa aache kuweweseka Mbowe alishatoa mwaliko kwa wale wote wanaojiona kuwa wanaweza kupimana ubavu na Mbowe wajitokeze.Kama ana ubavu asubiri siku ya kuingia ulingoni wapimane ubavu.

Mkuu heshima kwako, hiyo ndiyo GREAT THINK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…