Mbowe awekewa pingamizi CHADEMA

Yaani wewe ndio huelewi kitu, Hakuna njia nyingine zaidi ya uwatumia wasaliti.Hivi ni nani asiyejua kua Mbarouk ana kadi ya ACT?Kazi ya hiyo kadi ni nini?Hizo m.3 alizopewa zilikua na kazi gain?

Mbona dr.slaa ana kadi ya ccm?
 
Wapiga kura wanamhitaji Mbowe sasa ninyi nini kinawauma? Achana na Chadema wachague mwenyekiti wao kama wanaridhika naye.

Achaa kuongeaa mamboo bila fact wewe asa wapigaa kuraa gani wanao muitaji au c angesubiri mpaka uchaguzz mkuu kwan wapiga kura wanataka m/kiti?
 
Tuache kufikiria kwa kutumia Makalio ; yaani mtu mmoja anawaze kubadili majina ya Wagombea? Mbowe sio anae manage database. Labda pengine msichokifahamu ni kwamba haya majina yako kwenye database na sio kichwani mwa mtu kama Magamba mlivyo! Tumieni vichwa vya juu kuwaza na sio vichwa vya chini
 
Kansa aache kuweweseka Mbowe alishatoa mwaliko kwa wale wote wanaojiona kuwa wanaweza kupimana ubavu na Mbowe wajitokeze.Kama ana ubavu asubiri siku ya kuingia ulingoni wapimane ubavu.
 

Ameanza visingizio kabla ya kufika ulingoni.
 

mapenzi huficha ulemavu. wewe una mapenzi na mbowe huwezi kuona ulemavu wake
 
Sisiemu mnachekesha sana;jambo lisilo wahusu lawawashia nn nyie watu? uwepo wa Mbowe kwa sasa kuwa M/kiti CDM unahitajika sana
 
Hiv nyie lumumba bila kumtaja mbowe inakuaje c mkampe mav kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…