Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,449
- 100,750
wazeee WA democracy naonanmnaendelea kuparurana tuuuu kesho Nape Makonda na Malecela watakujibuni tena hahahahaahaHakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.
Nasubiri hitima ya chadema ambayo inakuja kutimia mda siyo mrefu.
Kaka nakubaliana nawe kabisa. Huyu Simiyu Yetu ana tatizo la kufikiri na ni miongoni mwa watu wanochangia kihovyo sana. hana hoja zaidi ya kucome up vijikejeli na hawezi kujenga hoja yoyote yenye mshiko. Kila wakati ukiona post yake, RITZ, Zemarcopolo, sumu, Taswira, Chris Lucos, CCM2015 na wengine. Wana hoja dhaifu na wanaanzisha dukukuku zao kuaminisha umma ilimradi wamepost jambo baya kwa Chadema au wanopinga ufisadi.Ndo vijana wa CCM imewalea na ndo wanajipambanua kujibu hoja nzito.
Nasubiri hitima ya chadema ambayo inakuja kutimia mda siyo mrefu.
Hiv wewe kwa nini usijitahidi ukaja na mawazo enedelefu katka kuchangia? Kila wakati comments zako zimekuwa as if wewe un TATIZO LA KUKAA NA KUFIKIRI KABLA YA KUANDIKA CHOCHOTE! TUPA KUJIFUNZA KWA HIYO HUU MUDA UNAKUFAA KUFANYA HIVYO!
Sometimes you need to be out of your mind to fathom abject stupid commentsJk huwezi kumlinganisha na mtu tapeli wa siasa kama huyu jamaa ni tapeli hata kwenye ndoa.
....Gamba limedata !!!
Makubwa, kweli na wewe unajilinganisha na upeo wa Mbowe???Kuna uzi kule wa Lowasa, mbona mnaukimbia??
Hiv wewe kwa nini usijitahidi ukaja na mawazo enedelefu katka kuchangia? Kila wakati comments zako zimekuwa as if wewe un TATIZO LA KUKAA NA KUFIKIRI KABLA YA KUANDIKA CHOCHOTE! TUPA KUJIFUNZA KWA HIYO HUU MUDA UNAKUFAA KUFANYA HIVYO!
Mbowe ni kiongozi bora,kuliko yeyote ktk vyama vya siasa tanzania.chini ya m/kiti mbowe chadema imefanikiwa sana,kutoka wabunge 11 mpaka 49.hongera mbowe.
genye zinakufanya mwehu..
Vipi police wamesha kamata lile jamaa linalo uuwa watu kule musoma....au hata wale wanao uwa wanawake kwa kuwakata shingo?
Mbowe yupo peupeeeeee hana hata rungu wala hapigi mtu
Mbowe ameeleza kuwa hakuna sheria per se inayotaka mikutano kufungwa saa 12 kamili bali sheria ya uchaguzi ambayo haiko applicable hapa. Wakuu wanasaini kadi za uanachama hapa no
pole sana gamba! tupo hala furahisha tunateketeza magamba!!! teh teh teh teh teh teh teh teh teh.......
Kwa akili ya Kumeza ya Zitto hawezi digest hili....Zitto hadi anakwenda kaburini hatakaa aelewe kwanini kil akaijitahidi ongeza degree bado akija kwa Mbowe anakuta km vile Mvinyo unavyozidi kuwa bora kwa Umri...
Sikuwa hapa jukwaani kwa muda, bado una akili zako za matope!...ccm kila mtu ni mpiga ramli kuitabiria chadema,mmelogwa nie si bure
Magamba waajabu...yanajitahidi kuidhoofisha cdm yameshindwa sasa yanatapatapa na sababu zisizo za msingi. Watu ktk mikutano hiyo watawaona askari wapuuzi wakikatisha elimu ya m4c.
hizo ni ndoto za mchana! ukitoa watoto wanao zaliwa kwenye familia za mafisadi waliobaki woooote ni chadema amini usiamini.kufikiri CHADEMA itakufa ni sawa na kusema jua likizama halita chomoza. ninyi wenyewe hamlali kwasababu CHADEMA imekaribia kuwanyang'anya tonge mdomoni.
Tatizo ni kuwa mzungu aliondoka na muda akatuachia saa na ndiyo maana policcm kwa kutumika wako busy kuangalia saa. Kamanda mbowe anajali muda na siyo saa,lazima aukomboe wakati na siyo SAA.Do you get me POLICCM?
This time mna mpango wa kuua kiongozi wetu wa CHADEMA wewe mdada?
Hiyo HITIMA imenitisha!
Simiyu yetu utakufa kwa pressure. Muda unaotumia kubeza CDM humu tafuta kitu cha kukuingizia kipato, sio Buku 7 ambazo hazina kodi wala hukatwi nssf, pspf etc
Chiku zote amani huvurugwa na mapolisi na wala chio vyama vya wapinzani ujue. Polichi wakiwa wachitarabu amani tele tu. Wakitaka kutumiwa na ccm bachi! Leo labda Nape kachahau kuwapa vijichenti.
Kaka nakubaliana nawe kabisa. Huyu Simiyu Yetu ana tatizo la kufikiri na ni miongoni mwa watu wanochangia kihovyo sana. hana hoja zaidi ya kucome up vijikejeli na hawezi kujenga hoja yoyote yenye mshiko. Kila wakati ukiona post yake, RITZ, Zemarcopolo, sumu, Taswira, Chris Lucos, CCM2015 na wengine. Wana hoja dhaifu na wanaanzisha dukukuku zao kuaminisha umma ilimradi wamepost jambo baya kwa Chadema au wanopinga ufisadi.Ndo vijana wa CCM imewalea na ndo wanajipambanua kujibu hoja nzito.
vipi picha mkuu? Je mbowe amekamatwa na polis?
Star TV wametupa haki Mkutano wa DR. Slaa Mwanza. Viva Star TV, Viva ITV (Mbowe katembelea jimbo la Kikwete shule, kuna shule ina mwalimu mmoja tu na shule imepinda mbaya huku Mama Salma anapeleka Tablet kweke)
Tuko mbali kaka. Hivi unajua Uchumi wa Uingereza kipindi cha John Major ndo ulikuwa Juu kiliko kawaida na majo alikuwa sio msomi!!? Mbowe kaenda shule, na ana kipaji cha Uongozi. Kuwa taarifa ako A leader is 50% born na 50% anafanywa na watu (kupitia elimu/kujifunza) na vyote hivi mbowe anavyo kaka ndo maana kila siku CCM inazidi kufa kupitia nguli wa siasa na mtaalamu Mbowe na team nzima ya Mapambano. Chadema inafanikiwa kwa kuwa wanafanya siasa kisayansi na haya yote ni matunda ya upngozi wa mbowe. Ndo maana mnahanya sana na hamlali, mnajifilisi kuhonga honga wasaliti ili Chadema ife kumbe ndo mnachochea Mafanikio. Kwa nini hamuongelei CUF, NCCR, TADEA,UDP,CHAUMA, na vinginevyo? Acha Chadema ife kwa kuwa na mbowe haikuhusu, ongelea CCM yako inayoenda kaburini. Mmebaki mnawalagai wananchi kwa boda boda huku mkishinda kutatua kero za msingi. Boda boda zitaondoa Umasikini kama katibu wenu anavyowalaghai wanaMbeya? Wapeni mashamba walime na sio boda boda. Wakiwa na boda boda hizo feki za kichina watakula nini? CCM kweli mmeshikwa pabaya sasa.
Naona na ninyi magamba leo mmekuwa na maandamano ya chama chenu kilichokosa dira na kinakaribia kuzikwa kwa kuwa hata birth day yake mmesahau kuwa ni tarehe 5 mwezi wa pili, na kesho nasikia mna maandamano mengine kule mbeya. SASA mlibatiza chadema chama cha maandamano, ninyi mnafanya nini? Nyani haoni kundule!!
Mbowe Angekuwa amehudhuria shule, usingeandiaka maelezo yote haya! Ungebandika CV yake tu hapa! INGEJIELEZA!Tuko mbali kaka. Hivi unajua Uchumi wa Uingereza kipindi cha John Major ndo ulikuwa Juu kiliko kawaida na majo alikuwa sio msomi!!? Mbowe kaenda shule, na ana kipaji cha Uongozi. Kuwa taarifa ako A leader is 50% born na 50% anafanywa na watu (kupitia elimu/kujifunza) na vyote hivi mbowe anavyo kaka ndo maana kila siku CCM inazidi kufa kupitia nguli wa siasa na mtaalamu Mbowe na team nzima ya Mapambano. Chadema inafanikiwa kwa kuwa wanafanya siasa kisayansi na haya yote ni matunda ya upngozi wa mbowe. Ndo maana mnahanya sana na hamlali, mnajifilisi kuhonga honga wasaliti ili Chadema ife kumbe ndo mnachochea Mafanikio. Kwa nini hamuongelei CUF, NCCR, TADEA,UDP,CHAUMA, na vinginevyo? Acha Chadema ife kwa kuwa na mbowe haikuhusu, ongelea CCM yako inayoenda kaburini. Mmebaki mnawalagai wananchi kwa boda boda huku mkishinda kutatua kero za msingi. Boda boda zitaondoa Umasikini kama katibu wenu anavyowalaghai wanaMbeya? Wapeni mashamba walime na sio boda boda. Wakiwa na boda boda hizo feki za kichina watakula nini? CCM kweli mmeshikwa pabaya sasa.
Kwa akili ya Kumeza ya Zitto hawezi digest hili....Zitto hadi anakwenda kaburini hatakaa aelewe kwanini kil akaijitahidi ongeza degree bado akija kwa Mbowe anakuta km vile Mvinyo unavyozidi kuwa bora kwa Umri...
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.
Jk huwezi kumlinganisha na mtu tapeli wa siasa kama huyu jamaa ni tapeli hata kwenye ndoa.
[quote name="bibikuku" post=8572063]Nipo mkutano wa mbowe hapa kibaha now. Ni saa 12:25 jioni mboww bado anahutubia. Polisi wamekuna kumshusha amegoma hadi saa 12 unusu anasema ndio atashuka na yuko tayari kukamatwa akishuka.
Mgombea wa ubunge ccm 2010 alieshika nafasi ya tatu kura za maoni Dr Rose Japhet kajiunga xhadema na kukabidhiwa kadi na mbowe
Nitawapa taarifa zaidi hapa kinachoendelwa
mwaka huu mpakaHakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.