Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
Nipo mkutano wa mbowe hapa kibaha now. Ni saa 12:25 jioni mboww bado anahutubia. Polisi wamekuna kumshusha amegoma hadi saa 12 unusu anasema ndio atashuka na yuko tayari kukamatwa akishuka.
Mgombea wa ubunge ccm 2010 alieshika nafasi ya tatu kura za maoni Dr Rose Japhet kajiunga xhadema na kukabidhiwa kadi na mbowe
Nitawapa taarifa zaidi hapa kinachoendelwa
Bora hata angekuwa anaongea kitu cha maana ndo angegoma kushuka,
Nasubiri hitima ya chadema ambayo inakuja kutimia mda siyo mrefu.
Chiku zote amani huvurugwa na mapolisi na wala chio vyama vya wapinzani ujue. Polichi wakiwa wachitarabu amani tele tu. Wakitaka kutumiwa na ccm bachi! Leo labda Nape kachahau kuwapa vijichenti.Mkutano umefungwa now kuna amani sana hadi sasa
...
...Pamoja Kamanda !!!
hapa tupo Mwanza M4C - OPD inasonga mbele !!!
Nasubiri hitima ya chadema ambayo inakuja kutimia mda siyo mrefu.
Hiv wewe kwa nini usijitahidi ukaja na mawazo enedelefu katka kuchangia? Kila wakati comments zako zimekuwa as if wewe un TATIZO LA KUKAA NA KUFIKIRI KABLA YA KUANDIKA CHOCHOTE! TUPA KUJIFUNZA KWA HIYO HUU MUDA UNAKUFAA KUFANYA HIVYO!
vipi picha mkuu? Je mbowe amekamatwa na polis?Mkutano umefungwa now kuna amani sana hadi sasa
Hakuna ujinga mwingine zaidi ya huu hivi mbowe kwa mambo anayofanya anaona kuwa anasifa za kuwa kiongo wa taifa hili hovyo kabisa some time shule zinasaidia sana.
Nasubiri hitima ya chadema ambayo inakuja kutimia mda siyo mrefu.
Tuko mbali kaka. Hivi unajua Uchumi wa Uingereza kipindi cha John Major ndo ulikuwa Juu kiliko kawaida na majo alikuwa sio msomi!!? Mbowe kaenda shule, na ana kipaji cha Uongozi. Kuwa taarifa ako A leader is 50% born na 50% anafanywa na watu (kupitia elimu/kujifunza) na vyote hivi mbowe anavyo kaka ndo maana kila siku CCM inazidi kufa kupitia nguli wa siasa na mtaalamu Mbowe na team nzima ya Mapambano. Chadema inafanikiwa kwa kuwa wanafanya siasa kisayansi na haya yote ni matunda ya upngozi wa mbowe. Ndo maana mnahanya sana na hamlali, mnajifilisi kuhonga honga wasaliti ili Chadema ife kumbe ndo mnachochea Mafanikio. Kwa nini hamuongelei CUF, NCCR, TADEA,UDP,CHAUMA, na vinginevyo? Acha Chadema ife kwa kuwa na mbowe haikuhusu, ongelea CCM yako inayoenda kaburini. Mmebaki mnawalagai wananchi kwa boda boda huku mkishinda kutatua kero za msingi. Boda boda zitaondoa Umasikini kama katibu wenu anavyowalaghai wanaMbeya? Wapeni mashamba walime na sio boda boda. Wakiwa na boda boda hizo feki za kichina watakula nini? CCM kweli mmeshikwa pabaya sasa.CHADEMA wangepata mwenyekiti aliyeenda shule wangeweza kufika mbali, Lakini na huyu kilaza watabaki kuwa wapinzani milele.
Naona na ninyi magamba leo mmekuwa na maandamano ya chama chenu kilichokosa dira na kinakaribia kuzikwa kwa kuwa hata birth day yake mmesahau kuwa ni tarehe 5 mwezi wa pili, na kesho nasikia mna maandamano mengine kule mbeya. SASA mlibatiza chadema chama cha maandamano, ninyi mnafanya nini? Nyani haoni kundule!!Chadema hawataki kuheshimu sheria za nchi siku wakichukuwa dola sijui itakuaje, tatizo kubwa la Mbowe ni elimu.