Mbowe awaacha kwenye mataa watu wake Vingunguti

Mbowe awaacha kwenye mataa watu wake Vingunguti

Leo kulikuwa na ujio wa Mwenyekiti wa CDM Taifa Mbowe Vingunguti na Buguruni,wiki hii nzima jamaa wanatupigia kelele za matangazo ya kuja Mbowe.
Leo jamaa wamefunga mziki uwanjani wameweka jukwaa wamekodi matarumbeta na ngoma. Wamejaa Tabata na mapikipiki na magari ya mabendera kibao,na wengine wamejaa Buguruni shell. Kufika saa nane wakaambiwa Mbowe haji tena. Ni aibu ya mwaka jamaa wamenywea hawana la kuwaambia watu waliojaa.

Ukumbuke kuwa mlikuwa mmepanga kuushambulia mkutano huo kwa Bomu na kwa kuwa Idara ya Usalama ya CDM ipo makini Lengo lenu limefail na kwa hiki ulichokiandika ni maumivu uliyoyapata.
 
Kwani mwenyekiti wa ccm taifa hakatishagi ziara zake? La ajabu lipi kwa mbowe?
 
Nilikuwa nafuatilia nini kilitokea,iko hivi hawa viongozi wa CDM toka makao makuu waliagiza mkutano uandaliwe na shughuli nyingine za kichama,hivyo maandalizi yakaendelea wiki nzima,lakini cha ajabu eti leo siku ambayo ni ya mkutano,watu wamesubiri na matarumbeta yao na mapikipiki yao mpaka kufika saa nane wakaambiwa Mbowe haji eti kwa kisingizio kuna mgogoro kati ya Cuf na CDM!! Hawa watu wa ajabu hivi wiki nzima wanafanya maandalizi walikuwa hawawasiliani??
Halafu waongo mbona Cuf wanapiga mikutano yao??na juzi alikuwepo huku Kambaya kunadi watu wao??CDM bwana wa ajabu. Walitawanyika wamenywea kama kuku yatima wamenyeshewa.
 
Ukumbuke kuwa mlikuwa mmepanga kuushambulia mkutano huo kwa Bomu na kwa kuwa Idara ya Usalama ya CDM ipo makini Lengo lenu limefail na kwa hiki ulichokiandika ni maumivu uliyoyapata.

SHUKRANI kwa RED BRIGADE .
 
utamsikia siku moja akikagua vikosi vya ulinzi na usalama
 
kichwa cha mbowe hakina kitu watu wa dar wanaupeo wa mambo aliogopa kupata aibu sijui angewaambia kitu gani wakati kichwa chake ndiyo vile mwenzangu na mie.

wenzako wanauana mgawo wa buku buku kinondoni
 
Mbinu wanayotumia UKAWA kata ya Ubungo naona CCM wanapotea kabisa hata kuvaa yale manguo ya kijani watu wanaona Aibu
 
Ukumbuke kuwa mlikuwa mmepanga kuushambulia mkutano huo kwa Bomu na kwa kuwa Idara ya Usalama ya CDM ipo makini Lengo lenu limefail na kwa hiki ulichokiandika ni maumivu uliyoyapata.

Hahahaha huu ujinga na ungese kabisa sasa hizi movie hapa za nn?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom