Mbowe awa kiongozi wa upinzani bungeni, Zitto naibu , Lissu chief whip

Status
Not open for further replies.
Hiyo imekaa vizuri maana makamanda mbowe na zitto wanaweza kupambana vilivyo na spika mbabe aliyepindukia anna makinda.
 
The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip.

SOURCE ZITTO KABWE

nahisi kikwete kujiuzulu kwa safu hii looohhh bg up semeji @@wakimbize hao na wanawake zao wanaotaka kutuhenyesha
 
I doubt - makundi yapo - na ndiyo maana wametoka na Model ya "Queen"!

I think it was a bit "tricky" to ask Zitto to agree to disagree!

Watu hawaamini mlitegemea Chadema haitatoka kwa hili yaani wametoka kirahisi kama wanamsukuma mlevi, elewa kuna vichwa kule ile cabinet imekamilika kila idara na siku zote Chadema huwa hawabahatishi.
 
Hahaha hawa CCM wanapenda sana Sketi! Itafikia wakati hata wanaume itabidi waangalie wenye haiba ya Kike!
 
katika kipindi ambacho kitakuwa kigumu katika historia ya chama cha mafisadi ccm ni hiki hapa 2010 november hadi 2015 september. Nikiangalia safu iliyoko hapo juu mjengoni kutoka chadema ni kwamba ni timu ya makombora ya maangamizi ambayo sijaona kama ccm wana hata patriotic moja ya ku intercept mashambulizi yenye hoja zilizojaa logic na evidence.
Ccm kaeni mkao wa kufunikwa bungeni halafu mkifika kwa wananchi mkutane na zomea zomea ya hilooooo, haooo, kamataaa, mafisadi haooo!!!!!!!

kinga yao ni uteuzi wa mama makinda kuwa spika na kumwaga sitta
 
Wadau nisaidieni, kazi ya Chief Whip ni ipi? Atakuwa na boko la kuwachapa mawaziri wazembe au whip hapo inamaanisha nini
 
hawa ndo watu tunaowataka bungeni nasi vilaza wa kulala na kuja kuiba kura 2015

mungu ibariki chadema
mungu mbariki slaa
mungu mbariki mbowe
 
Kwa hali iyo uspeaker unamfaa Marando uyu Makinda ataambulia kuzomewa
 
Hii safu mpaka inaleta raha hata kulisiliza Bunge maana kama hao wabunge wa SIsiEm ukiiwapima kwenye Mzani na hii safu yani unaona kabisa ni wepesi kabisa, Ngoja tuje kushuhudia Burudani.
 
Chef Whip an important member of a British porlitical party whose job is to make sure that members of his party elected to parliament obey party order.
 
ccm wanatakaka kufanya kosa lenye HERI

ole wao makinda awe spika ndo kwisha kazi
 
tulitema hivyo tunasubiri jimbo litakafutiwa uchaguzi au mbunge kuhamia dunia ya pli ili Dr slaa arudi bungeni kama mrema
 
Unampaje madaraka ya uongozi wa bunge melevi mbwa kama mbowe!!!!! Tuache ushabiki tundu lissu au zito lilikua chaguo sahihi.... Mbowe hana ubavu na hana data za kujadiliana face to face na pinda mule ndani na kuna situations ambazo hakutokua na muda wa kumuuliza mtu pembeni..... Ukabila ulaaniwe zitto usiwe na shaka muda bado upo na utafanya makubwa waache hao wachaga wakubanie na wataaabika mjengoni

Kama ni Technology na hisi hii itakuwa ya kichina!!!!!!!!!!:rip:

Kichina atambe!!!! ni ya KICHAWI eg kuruka na ungo etc.
 
Katika kipindi ambacho kitakuwa kigumu katika historia ya Chama Cha Mafisadi CCM ni hiki hapa 2010 November hadi 2015 September. Nikiangalia SAFU iliyoko hapo juu mjengoni kutoka CHADEMA ni kwamba ni timu ya Makombora ya Maangamizi ambayo sijaona kama CCM wana hata Patriotic moja ya ku intercept mashambulizi yenye hoja zilizojaa logic na evidence.
CCM kaeni mkao wa kufunikwa bungeni halafu mkifika kwa wananchi mkutane na Zomea zomea ya Hilooooo, haooo, kamataaa, mafisadi haooo!!!!!!!


Kaka asante wewe waache tu kazi ndio imeanza watasema ni heri wangemuachia Slaa urais wake waliomuibia.
 
Kaka CUF ni wapinzani lakini kwa idadi yao ndogo dhidi ya Chadema hawawezi kuunda Serikali kivuli, hivyo basi Chadema wanaunda kwa wingi wao wa wabunge, CUF na vyama vingine vya upinzani wanaweza kuwa invited (na Chadema). Kumbuka 2005 CUF waliunda kambi ya upinzani bila kushirikisha chama kingine cha upinzani kutokana na kuwa na wabunge wengi kuliko wenzao, lakini baadae wakaamua kuwakaribisha wenzao katika kambi hiyo.

I thought Dr. Slaa alikuwa naibu Kiongozi wa Upizani!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom