Mbowe awa kiongozi wa upinzani bungeni, Zitto naibu , Lissu chief whip

Status
Not open for further replies.

George Maige Nhigula Jr.

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
470
195
The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip.

SOURCE ZITTO KABWE
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,830
2,000
The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip.

SOURCE ZITTO KABWE

Angalau wewe umekuja na 'uzi' wa maana.

Siyo majungu ya mamaria sugu.

Hongera Chadema.
 
George Maige Nhigula Jr.

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
470
195
Kazi ya Tundu Lissu ni chief whip, kuweka sawa caucus ya upinzani kuwa na msimamo mmoja na kutafuta kura za kupitisha miswaada mbalimbali
 
Pelosi

Member
Jul 22, 2010
83
70
The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip.

SOURCE ZITTO KABWE

Great news, hiyo imetulia...
 
Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
6,996
2,000
The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip.

SOURCE ZITTO KABWE

Why have they "adopted" the Westminster "Model"?

Which "Model" have been used so far? Since 1995?
 
kauzu

Member
Oct 4, 2010
74
70
naamini ni mwaka wa mafanikio kwa watanzania,na ni mwaka wa kuanguka kwa mafisadi,duh huyo spika kazi anayo:israel::israel::israel:
 
Gerad2008

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
580
500
Katika kipindi ambacho kitakuwa kigumu katika historia ya Chama Cha Mafisadi CCM ni hiki hapa 2010 November hadi 2015 September. Nikiangalia SAFU iliyoko hapo juu mjengoni kutoka CHADEMA ni kwamba ni timu ya Makombora ya Maangamizi ambayo sijaona kama CCM wana hata Patriotic moja ya ku intercept mashambulizi yenye hoja zilizojaa logic na evidence.
CCM kaeni mkao wa kufunikwa bungeni halafu mkifika kwa wananchi mkutane na Zomea zomea ya Hilooooo, haooo, kamataaa, mafisadi haooo!!!!!!!
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,587
2,000
The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip.

SOURCE ZITTO KABWE

naaaaaaam hadi ukamilifu wa dahani tutawaendesha mpaka watajuta kuchakachua

hilo ndio dream team nililokua nalisubiri tangia longtyme
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,523
2,000
hahaaaaa
sipati picha ije kutokea Marando kawa spika.uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
20,104
2,000
The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip.

SOURCE ZITTO KABWE
Timu imekamilika hongera Chadema hadi sasa mnakwenda na upepo wa wengi keep up.
 
Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
0
sasa tungoje serikali kivuli. Chadema wamesema watawashirikisha CUF kama vile wao walivyowashirikisha katika Bunge lililopita. Lakini pia pamoja na u-chief whip, Lissu apewe uwenyekiti wa mahesabu ya Serikali (PAC) kazi aliyokuwa nayo John Cheyo. Na cheyo mwenyewe asiingie kabisa katika baraza hilo kivuli kwani katk Bunge lililopita alionyesha kuishabikia CCM. Hafai.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom