Mbowe atashinda tena Hai 2020?

Mbowe atashinda tena Hai 2020?

Bada mnaamini sisi wananchi ni wajinga kiasi hicho kwamba tutalikabidhi jimbo bila kukaa chini na kutathimini kabla ya uamuzi huo?

Ujinga wenu ninyi vijana ni kudhani mnayo haki ya kumfanyia maamuzi mtu, wakati ninyi mnaweza tu kumshauri rais kutimiza ahadi zake.

Mtu kuchaguliwa ni baada ya kupambanua hoja, na kujibu hitaji la wananchi ni nini atawafanyia? Na kuwaahidi atakuwa ni kiongozi wa namna gani.

Si vyema kujipa uhakika kwa jambo ambalo maamuzi yapo kwa mtu mwingine ni ujinga
Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?

"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.

HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi

October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.

Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
 
Hatuwezi kushangaa kwani KURA tayari walishapiga wenyewe na kumkabidhi Msimamizi wa uchaguzi. Wanasubiri muda uwadie wamtangaze mshindi.
 
Kwa Mimi naona kutokuwa Mbunge itamsaidia zaidi kukijenga chama na upinzani kwa ujumla
 
Muda mwingine kuna viongozi wanatuona wapumbavu, mkuu wa wilaya hawezi wachagulia wananchi mbunge
 
Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?

"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.

HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi

October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.

Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
Uharo mtupu.
tapatalk_1556254614591.jpeg
 
Back
Top Bottom