Mbowe atashinda tena Hai 2020?

Mbowe atashinda tena Hai 2020?

Joined
Jun 4, 2019
Posts
14
Reaction score
23
Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?

"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.

HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi

October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.

Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
 
Poleni mwambie sabaya agawe pochi sana hakuna jimbo hapo. Hata mabavu hamkatizi manyangau
 
Inahitajika red guard wajipange kiroho na kimwili kukabiliana na wale wahuni wanaopokea maagizo bila kutafakari.
 
Wamachame wenzie walivyo wanafki wameshamtosa!!! Kuore umbe ya malela
 
Mbunge wa Hai 2020 ni Jerry Murro kupitia CCM

P
 
Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?

"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.

HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi

October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.

Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
Kwani huyo Haji Manara akimtoa Mbowe atakuwa anawajaza fedha mifukoni!
 
Mbunge wa Hai 2020 ni Jerry Murro kupitia CCM

P
Yupo Kijana mwingine
 
Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?

"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.

HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi

October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.

Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".

Huyo Sabaya hata hajui Mbowe huwa anachaguliwaje.. Atulie tuu wananchi wataaamua.. Lakini sio kwa rafu zake hizo hazitamsaidia..

Pia nawakumbusha maDC na RC wanaotaka kugombea ubunge.. Magu alishasema wenye uroho wa madaraka atawakomesha.. Tena akatoa mfano wa maDC na RC wanaotaka kugombea ubunge kwamba ukigombea basi ushinde.. Ukishindwa anakukomesha kama ulikuwa tayari DC au RC
 
Hivi Sabai anatambua kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri wamepigwa stop na mahakama kuwa Returning officers?
Kweli ma DC ni vidampa visivyo jua nini kinaendelea!
Wakati wakubwa zake wanahaha kwa vile njia kuu ya bao la mkono limezuiwa yeye haelewi!
Yaani ni sawa na watoto ambao baba kafukuzwa kazi hana kipato lakini bado wanasubiri akirudi aje na mapochopocho kama zamani.
Huyo jamaa ambaye akiwa Arusha alikuwa anatishia watu kuwa yeye ni Special agent undercover ili anunuliwe bia bado hajielewi.
 
Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?

"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.

HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi

October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.

Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
Mbowe atashinda kura nyingi atavunja historia ya mbeya
 
Mbunge wa Hai 2020 ni Jerry Murro kupitia CCM
P
Lamli chonganishi hatuiitaki
 
Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?

"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.

HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi

October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.

Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
Anataka kupandishwa cheo huyu. Of course kama CCM wasingekuwa wanaiba kura na kutumia polisi wasingeshinda hata 20% ya viti vya bunge. Wepesi kuliko hewa.
 
Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?

"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.

HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi

October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.

Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
una akili timamu ? kwanza nakuhakikishia kwamba Huyo Sabaya hatakuwepo Hai wakati wa uchaguzi huo , usiniulize atakuwa wapi , Kingine ni kwamba Mbowe atashinda Hai hata kama Magufuli atakuwa mgombea ubunge wa ccm Hai
 
Atashinda tuu, na sababu ninaziona ni :
1. Ni kiongozi msikilivu.
2. Anajiheshimu na anaheshimika.
3. Mstaarabu na anasubutu
4. Ni mbunge mwenye jukumu la kitaifa kama kiongozi wa chama cha upinzani kikubwa, na bado analitumikia jimbo lake.
4. Mshahara wa bunge sio tegemeo lake kimaisha.
5. A very good speaker.
6. Ni mchaga na wazawa wengi wa Hai ni wachaga.
 
Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020?

"Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi mwenye akili anaweza kukubali kila asubuhi kugeuzwa geuzwa.

HESABU HAZIDANGANYI,Kwa kazi za heshima zinazoendelea nchi hii jimbo la Hai mtalisahau, Nendeni kapigeni kura kwenye mitandao kwenye kura zenu za maruani, na kama mnanijaribu mwezi

October wapiga kura watawafurahisha.
NIMEKUJA HAPA KUWATAARIFU KUWA hao chadema watashinda face book ,insta na Jamii forum na sio Hai.

Jimbo la Hai ni mali ya wananchi na watalikabidhi kwa chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.nimeyasema haya hadharani na nimemaliza".
Demokrasia ni mfumo unaoleta maelweano katika jamii katika masuala yote ya maisha na uongozi. Kinachoendelea kwa sasa ni ubakajinwa demokrasia ambapo wahuni wanajipa ushindi kwa njia sisizo za kidemkrasia. Uhuni huu ndio unaowafahya wananchi wafanye ya Sudani
 
Back
Top Bottom