Tutafukuza wote,tubaki wenyewe sisi si ndo wenye chama bhana.Chezea waasisi wewe.
Mtabaki wachaga watupu chadema
Tutafukuza wote,tubaki wenyewe sisi si ndo wenye chama bhana.Chezea waasisi wewe.
fukuza fukuza inakidhoofisha chama
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya kutokua na imani na waziri mkuu?
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya mabilioni ya uswis?.......katu sikubaliani na maamuzi ya kumvua zitto uanachama
Laiti TISS wangeweka list yote ya watu walio katika payroll yao, watu humu wangeshindwa kutazamana!. Thanks God Tuliojaliwa jicho la Tatu, "third eye", tunawaona machoni hadi miyoni mwao!, wakati wengine ni wapinzani kweli!, kuna wenzao ni wapiga dili tuu na wafanya biashara ya siasa!.
Pasco
CHADEMA Mnajiharibia
Halafu sijui baraza la wazee wa cdm wanafanya kazi gani......suala kama hili wazee wangetakiwa walimalize!!!!!!!!!!!!!
mkuu jiheshimu mimi ni mwanachama wa CDM penye ukweli lazima nizungumze
Mbowe is more than a dikteta! he is a vampire!
Ofisi za chama zina room kwa ajili ya kutesea watu?
Napa woga na kauli kama hizi! R.I.P Chacha Wangwe.Kauli thabit kutoka kwa Kamanda Makini.
WAR against traitors ans puppet will never end
athari ipo mkuu utaiona muda si mrefu
Serious?..you must be kidding.:canada::canada:Mbowe is more than a dikteta! he is a vampire!
fukuza fukuza inakidhoofisha chama
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya kutokua na imani na waziri mkuu?
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya mabilioni ya uswis?.......katu sikubaliani na maamuzi ya kumvua zitto uanachama
mkuu mimi ni mwanachama wa CDM sio mwanachama wa ZITTO.......ila ukweli utabaki palepale pengo lake lazima litaonekana
fukuza fukuza inakidhoofisha chama
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya kutokua na imani na waziri mkuu?
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya mabilioni ya uswis?.......katu sikubaliani na maamuzi ya kumvua zitto uanachama
Yote ni kutafuta popularity na misifa ili kuficha ugonjwa alionao wa usaliti.
Hakuna mboe hataki challenge anataka chama kile uenyekiti wake usiguswe ukionyesha nia ya kutaka kumtoa uenyekiti unakuwa msaliti km walivyomuondo chacha wangwe
Zitto alionekana Mbaya,Msaliti baada tu ya kuonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa chama,hadi CEO wa CHADEMA mzee Mtei na wenzake wakamwambia Zitto atoe jina lake,mengine haya ni mbwembwe tu,tatizo UENYEKITI.