Mbowe atangaza Vita na Zitto katika Vikao vya ndani vya Chama

''.....na atambue damu iliyopotea kwa ajili ya chama hiki. A simple is that. Labda mtu akisema tuna mgogoro na Zitto magazeti yanaandika, kwahiyo tukae tuongee na Zitto! Tuongee nae nini? Usaliti ndani ya chama hiki hatuuvumilii kwa gharama yeyote. Period! Usaliti ni tisho.

Kwamba wewe upo na mwenzako hapa tunapanga namna ya KUSHIKA DOLA, unalala usiku na mchana mnakuta mwenzenu asubuhi anatoka anakwenda Usalama wa Taifa kupeleka information zenu!

Halafu mnaniambia tuongee kuhusu Zitto! Zitto? Anaunda chama yupo ndani ya chama tumvumilie? 'kamanda tafadhali ee'. Hatuna chuki na mtu binafsi lakini nawaambieni, hatuta entertain ujinga huu. THIS IS THE WAR.

Mtu yeyote atakayefanya kazi ya kutuuza, na siyo Zitto tu, wako wengine wengi tu. Tukiwakamata! Yule jamaa pale kasema sijui lakini mimi sijasema. Jamani naomba niwashukuru''.

Mwisho wa kunukuu. Matumizi ya neno ''THIS IS THE WAR''

Hata wewe ukithibitika kuwa ndio ulieleta taarifa hii kutoka kikao cha ndani cha chama tutakufuza hatuwezi kaa na watu wa aina yako ndani ya chama makini kama chadema.
 
ZITTO ni injini ya chama hakika tumepoteza jembe ZITTO amesaidia kukuza chama mpaka hapa tulipo sasa chama kimekua uongozi wa juu unamvua uanachama.......hakika chozi la ZITTO litawalaani wale wote waliofanya hujuma mpaka Zitto akavuliwa uanachama
MUNGU MBARIKI ZITTO
MUNGU IBARIKI CHADEMA
 
fukuza fukuza inakidhoofisha chama
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya kutokua na imani na waziri mkuu?
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya mabilioni ya uswis?.......katu sikubaliani na maamuzi ya kumvua zitto uanachama
Kukubali kwako au kutokubali hakutakuwa na athari yoyote. Zitto ni mwanasiasa mahiri, anao wafuasi wengi walio tayari kuondoka naye kwenda chama atakachochagua, tunavyo vyama zaidi ya 20, tatizo liko wapi? Si aende na hao wafuasi wake akaimarishe kimojawapo kati ya vyama vilivyopo?
 
Mbowe ni kamanda wa ukweli, jasiri asiyetetereka!!!

Kukaa meza moja na msaliti ni hatari sana...
 
Halafu sijui baraza la wazee wa cdm wanafanya kazi gani......suala kama hili wazee wangetakiwa walimalize!!!!!!!!!!!!!
 
Zitto alionekana Mbaya,Msaliti baada tu ya kuonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa chama,hadi CEO wa CHADEMA mzee Mtei na wenzake wakamwambia Zitto atoe jina lake,mengine haya ni mbwembwe tu,tatizo UENYEKITI,huyu kenge Mbowe na yeye atanyolewa tu,ajiandae,macho ku mchuzi huyu
Kaoshe kwanza utoe janaba ndio uje uandike hapa, swine.
 
fukuza fukuza inakidhoofisha chama
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya kutokua na imani na waziri mkuu?
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya mabilioni ya uswis?.......katu sikubaliani na maamuzi ya kumvua zitto uanachama
Chadema needs structural reforms; but too late! It is a time wasted
 
Kukubali kwako au kutokubali hakutakuwa na athari yoyote. Zitto ni mwanasiasa mahiri, anao wafuasi wengi walio tayari kuondoka naye kwenda chama atakachochagua, tunavyo vyama zaidi ya 20, tatizo liko wapi? Si aende na hao wafuasi wake akaimarishe kimojawapo kati ya vyama vilivyopo?

athari ipo mkuu utaiona muda si mrefu
 
ZITTO ni injini ya chama hakika tumepoteza jembe ZITTO amesaidia kukuza chama mpaka hapa tulipo sasa chama kimekua uongozi wa juu unamvua uanachama.......hakika chozi la ZITTO litawalaani wale wote waliofanya hujuma mpaka Zitto akavuliwa uanachama
MUNGU MBARIKI ZITTO
MUNGU IBARIKI CHADEMA
Call for parties to establish think tanks. For party members and followers this sacrifice is too expensive
 
Laiti TISS wangeweka list yote ya watu walio katika payroll yao, watu humu wangeshindwa kutazamana!. Thanks God Tuliojaliwa jicho la Tatu, "third eye", tunawaona machoni hadi miyoni mwao!, wakati wengine ni wapinzani kweli!, kuna wenzao ni wapiga dili tuu na wafanya biashara ya siasa!.

Pasco

Hebu uza maneno hapa mkuu, tuondoe ukungu machoni
 
''.....na atambue damu iliyopotea kwa ajili ya chama hiki. A simple is that. Labda mtu akisema tuna mgogoro na Zitto magazeti yanaandika, kwahiyo tukae tuongee na Zitto! Tuongee nae nini? Usaliti ndani ya chama hiki hatuuvumilii kwa gharama yeyote. Period! Usaliti ni tisho.

Kwamba wewe upo na mwenzako hapa tunapanga namna ya KUSHIKA DOLA, unalala usiku na mchana mnakuta mwenzenu asubuhi anatoka anakwenda Usalama wa Taifa kupeleka information zenu!

Halafu mnaniambia tuongee kuhusu Zitto! Zitto? Anaunda chama yupo ndani ya chama tumvumilie? 'kamanda tafadhali ee'. Hatuna chuki na mtu binafsi lakini nawaambieni, hatuta entertain ujinga huu. THIS IS THE WAR.

Mtu yeyote atakayefanya kazi ya kutuuza, na siyo Zitto tu, wako wengine wengi tu. Tukiwakamata! Yule jamaa pale kasema sijui lakini mimi sijasema. Jamani naomba niwashukuru''.

Mwisho wa kunukuu. Matumizi ya neno ''THIS IS THE WAR''

Tutafukuza wote,tubaki wenyewe sisi si ndo wenye chama bhana.Chezea waasisi wewe.
 
Hata wewe ukithibitika kuwa ndio ulieleta taarifa hii kutoka kikao cha ndani cha chama tutakufuza hatuwezi kaa na watu wa aina yako ndani ya chama makini kama chadema.

Mkuu,

Huyu ni wakutafuta....heading yake ya kichochezi... japo ni wandani na inaonesha alikuwepo....
 
Back
Top Bottom