Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mpaka tutakapoona vinginevyo

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Ccm wamekuwa wapiga kampeni kuu ya wanachadema kumbadilisha Mbowe kama mwenyekiti kuliko hata sisi wafia chama
Huwa najiuliza inawauma nini yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CDM

Mkiweza mshawishini ahamie CCM hapo ndio atakuwa ameachana rasmi na uenyekiti wa CDM

Chadema forever
 
Ubarikiwe,tena CCM wajue hatupangiwi.
 
Ccm wamekuwa wapiga kampeni kuu ya wanachadema kumbadilisha Mbowe kama mwenyekiti kuliko hata sisi wafia chama
Huwa najiuliza inawauma nini yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CDM

Mkiweza mshawishini ahamie CCM hapo ndio atakuwa ameachana rasmi na uenyekiti wa CDM

Chadema forever
Wewe utakuwa mpwa wa mbowe sio bure, ngoja team ulipo tupo waje.........
 
Ccm wamekuwa wapiga kampeni kuu ya wanachadema kumbadilisha Mbowe kama mwenyekiti kuliko hata sisi wafia chama
Huwa najiuliza inawauma nini yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CDM

Mkiweza mshawishini ahamie CCM hapo ndio atakuwa ameachana rasmi na uenyekiti wa CDM

Chadema forever
Good thinking ''Nionavyo mimi kwasasa ni kubuni mbinu za kuimarisha chama wakati huu wa Njaa naukumbuka sana usemi huu wa Adui Muombee Njaa sababu moja wapo ya hama hama ni Njaa'
 
Hivi suala la katiba mpya na Mbowe kuwa mwenyekiti ni lipi lenye masilahi mapana kwa TAIFA LETU TANZANIA????.
 
Ccm wamekuwa wapiga kampeni kuu ya wanachadema kumbadilisha Mbowe kama mwenyekiti kuliko hata sisi wafia chama
Huwa najiuliza inawauma nini yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CDM

Mkiweza mshawishini ahamie CCM hapo ndio atakuwa ameachana rasmi na uenyekiti wa CDM

Chadema forever

Of course ni lazima iwe hivyo kama chadema bado inahitajj kura za Wachaga, kwani Mbowe akihama chadema anaondoka na Wachaga wote na huo ndo utakuwa mwisho wa chadema!
 
Ccm wamekuwa wapiga kampeni kuu ya wanachadema kumbadilisha Mbowe kama mwenyekiti kuliko hata sisi wafia chama
Huwa najiuliza inawauma nini yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CDM

Mkiweza mshawishini ahamie CCM hapo ndio atakuwa ameachana rasmi na uenyekiti wa CDM

Chadema forever
Hizi ndio akili za "Think tank" wa Chadema!!!!!!!
Kuna safari ndefu sana kwa kweli.

That being said, unamaanisha ya kwamba CCM nayo Itaendelea kuwa Chama tawala mpaka hapo watakapoona vinginevyo!
Tuliza saburi dawa ikuingie kamanda..
 
Back
Top Bottom