Mbowe asita kususia posho

Huu ulikuwa miongoni mwa mijadala bora sana hapa JF. Kuna usanii mwingi sana kwenye siasa.
 
Hizo ni hela za uma wacha azitumie na yeye. Hakuna namna maana wote ninyi mnazitumia sasa iweje yeye. Sisi walala hoi huku mtaani huwa tuna washangaa mnavyo kuwa wabaguzi utadhani hela ni zenu. Kuleni tu sisi ndo wajinga
 
Anakula posho? Umeona hizo posho? Siamini kama bado anazipata ndani ya Utawala huu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…