Ni kweli wakuu,Dkt Slaa tupo naye hapa Skanska Kwenye uzinduzi wa Chaso Ardhi ametupa hiyo taarifa na mipango mbalimbali inafanyika kuweka hali ya mambo sawa ingawa dhamana mpaka jumatatu.
ni kweli
i suggest kila mtanganyika apewe bunduki tupigane kidogo,
hakuna watu wanao heshimiana kama wale walopigana then waka patana!
at least unaweza pitisha ushuzi kwa amani...He is where he should have been a looooong time ago
Hapa inaonekana na wao wanaangalia nguvu ya umma itafanya nini? Lakini tukumbuke Mh Mbowe na jemedari hodari ambae anapambana kiume. Longolongo zikiendelea nini kifuate inabidi umma tujipange vema kama mmbwa waliopo mitaani.Natamani CHADEMA wampokee Mbowe kwa maandamano makubwa mara atakapopata dhamana.
imekuwaje tena? si jana tu tumepata taarifa kuwa anakinga ya kutokamatwa? je hawapolisi wamepata kibali kutoka kwa spika? na inakuwaje spika aruhusu Jembe kukamatwa wakati yupo ktk kutekeleza majukumu aliyokabidhiwa na wananchi
Polisi tendeni haki bana,