Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,838
- 50,542
alimaliza vibayaFreeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.
Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.
Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.
Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.
Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.
Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!
Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.
Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Tofauti ya Mwamba Mbowe na viongozi mlionao ni kichuguu na Mlima.Tatizo kubwa ni kwamba wengi wanaoishabikia Chadema ni vijana clueless wasiojua historia na sacrifice alizopitia Mbowe kwenye kuijenga Chadema.Wengi ni wafuata upepo waliokumbwa na upepo wa Uchaguzi wa Chadema.Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.
Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.
Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.
Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.
Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.
Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!
Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.
Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Umeshindwa kabisa kutofautisha kati ya mtu anayestahili heshima anapaswa aweje?Tofauti ya Mwamba Mbowe na viongozi mlionao ni kichuguu na Mlima.Tatizo kubwa ni kwamba wengi wanaoishabikia Chadema ni vijana clueless wasiojua historia na sacrifice alizopitia Mbowe kwenye kuijenga Chadema.Wengi ni wafuata upepo waliokumbwa na upepo wa Uchaguzi wa Chadema.
Ni vigumu kwao kujua ukweli bali ushabiki na matusi.Na hali hiyo ilisababishwa na matusi kwenye Kampeni.Makovu ya Uchaguzi yameleta madhara makubwa badala ya kujenga umoja.
Mi siasa nimezichukia mazima. Tabia mbaya za kiafrika ni kuchagua madhaifu ya watu na kuwahukumu na kusahau mema mengine yote. Upuuz mtupuunajisumbua tu mkuu. BINAADAMU HAWANA SHUKURANI.
Suala la kutukanwa na kudhalilishwa Mbowe limenifanya nipoteze Imani na CHADEMA
Una ushahidi wa hizi tuhuma au ni speculations tu.?Kwa sababu anayeleta tuhuma ndio ana wajibu wa kuthibitisha. Umemsikia Mwamba akisema lolote?Umeshindwa kabisa kutofautisha kati ya mtu anayestahili heshima anapaswa aweje?
Anaye mdharau Mh Mbowe atakuwa hajielewi, hata hivyo, heshima ya Mbowe itategemea na anavyoenenda tokea aache kukiongoza chama
Mtu uongeze genge la kuharibu ulichojenga, utahitaji heshima ya nani zaidi ya kudharaulika
Heshima haiombwi mkuu
Mojawapo ya madai yaliyokuwa yakisemwa sana Mbowe akiwa Mwenyekiti ni kwamba aachie ngazi akampumzike.Akaingia kwenye uchaguzi akashindwa kwa kura thelathini na ushee.Akakubali kushindwa. Akaenda kupumzika.Mbowe anafeli wapi ujue?
Ameacha au kususa kufanya uongozi mpya ujipambanie bila yeye kusaidia.
Yeye akiwa ndani viongozi wenzake walipambana huku nje
Sasa chama hakiendeshwi hivyo unavyo fikiri wewe.Mojawapo ya madai yaliyokuwa yakisemwa sana Mbowe akiwa Mwenyekiti ni kwamba aachie ngazi akampumzike.Akaingia kwenye uchaguzi akashindwa kwa kura thelathini na ushee.Akakubali kushindwa. Akaenda kupumzika.
Wenyewe mlidai mnajitosheleza kawaachia Chama mnamlaumu?
You cannot have your cake and eat it too
Mbowe anafeli wapi ujue?
Ameacha au kususa kufanya uongozi mpya ujipambanie bila yeye kusaidia.
Yeye akiwa ndani viongozi wenzake walipambana huku nje
Kutengeneza jina inachukua muda mwingi lakini kuliharibu ni sekunde chache,Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.
Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.
Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.
Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.
Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.
Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!
Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.
Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
He is now reservedMe naona ukimya wa Mbowe baada ya uchaguzi na kutoonekana kwake hadharani hata katika madhila wanayopitia viongozi wenzake ndiyo chanzo cha haya yote.
Tusipangiwe cha kufanya ,akizingua tunamzingua pia, naheshimu mada yako mtoa mada, ila Mbowe asituzingue periodFreeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.
Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.
Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.
Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.
Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.
Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!
Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.
Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Mbowe ni mwanasiasa mwenye utulivu,hekima ,busara,maarifa hana uroporopoFreeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.
Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.
Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.
Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.
Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.
Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!
Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.
Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Mbowe alikamatwa kwa ugaidi, Lissu akiwa hoi hospitali hakukaa kimya. Mdude labda ameshauawa, ila Mbowe hajali kabisaMojawapo ya madai yaliyokuwa yakisemwa sana Mbowe akiwa Mwenyekiti ni kwamba aachie ngazi akampumzike.Akaingia kwenye uchaguzi akashindwa kwa kura thelathini na ushee.Akakubali kushindwa. Akaenda kupumzika.