Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza maisha Oktoba

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
Kiongozi mwenye busara analinda Wanachama wake lakini kiongozi asiyekuwa na hekima Wanachama wake watapoteza uhai

Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza maisha October

Hii ni kwasababu Mbowe alikuwa anatumia hekima na busara kuongoza CHADEMA kwa miaka yote

Hakuwa akiongoza CHADEMA kwa namna hii ya kilimbukeni inayoongoza sasa

Hekima na busara zake ndizo zilipofusha CHADEMA waone kuwa ni Mwenyekiti asiyekuwa na sifa za uongozi

Wakadhani kwamba anawachelewesha kumbe Lissu alipowawahisha wakaishia kupoteza maisha

CHADEMA ya sasa iliamini kuwa Lissu ndiye rubani mzuri ila matokeo yake ameangusha ndege na yeye pia ameumia

Matokeo yake ikapelekea Wanachama wengi wa CHADEMA kupoteza nafasi za Ubunge na mbaya zaidi kupoteza maisha October

Lissu alirusha ndege isiyokuwa na dira ikaishia kuanguka na kupoteza maisha ya Wanachama
Sio maisha tu bali hata Chama kimepoteza Mwenyekiti wake pamoja na ndoto za kukamata dola

Kwa ufupi ni kuwa Chama kilidhani kikimtupa Mbowe kitafanikiwa ila kimepoteza kila kitu yaani CHADEMA imegawana hasara, wote wamekosa

Mbowe alilia sana kwa kutukanwa na Wanachama wa CHADEMA na hakuna aliyemfuta machozi badala yake waliishia kumdhihaki na huu ni wakati wa Wanachama wa CHADEMA kulia kama alivyolia yeye

Imekuwa ni mwendo wa kugawana hasara

Kama CHADEMA ilimchoka Mbowe basi ingemuaga kwa heshima kubwa lakini sio kwa namna ile ya Matusi hii ni kwasababu Mbowe hakuwa kiongozi mbaya na kama alikuwa mbaya basi wasingepokea CHADEMA iliyokuwa imesheheni idadi kubwa ya Wanachama walioipa CHADEMA sifa ya Chama Kikuu Cha Upinzani
 
Eti huyu ni wewe ?

1000095880.jpg
 
Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza maisha October

Hii ni kwasababu Mbowe alikuwa anatumia hekima na busara kuongoza CHADEMA kwa miaka yote

Hakuwa akiongoza CHADEMA kwa namna hii ya kilimbukeni inayoongoza sasa

Hekima na busara zake ndizo zilipofusha CHADEMA waone kuwa ni Mwenyekiti asiyekuwa na sifa za uongozi

Badala yake CHADEMA ikaamini Lissu ndiye mwenye sifa za uongozi

Matokeo yake ikapelekea Wanachama wengi wa CHADEMA kupoteza nafasi za Ubunge na mbaya zaidi kupoteza maisha October

Sio maisha tu bali hata Chama kimepoteza Mwenyekiti wake pamoja na ndoto za kukamata dola

Kwa ufupi ni kuwa Chama kilidhani kikimtupa Mbowe kitafanikiwa ila kimepoteza kila kitu yaani CHADEMA imegawana hasara, wote wamekosa

Alilia sana kwa kutukanwa na Wanachama wa CHADEMA na hakuna aliyempa pole badala yake waliishia kumdhihaki na huu ni wakati wa Wanachama wa CHADEMA kulia kama alivyolia yeye

Yaani ni mwendo wa kugawana hasara

Kama CHADEMA ilimchoka Mbowe basi ingemuaga kwa heshima kubwa lakini sio kwa namna ile ya Matusi
Unapigwa Paipu na Pierre Likwidi
 
Wewe na mbowe ndio wajinga. Kwanza ni dhambi kuongelea watu hao mwaka huu 2026. Tumia muda kuwaza watu wa maana zaidi
Siwezi kushangaa kwasababu CHADEMA ni watu wakaidi hawaambiliki, kama walimtukana Mbowe aliyewajengea CHADEMA mimi ni nani
 
Nakumbuka niliweka mada kama angalizo kuwa Lisu hafai uwenyekiti wa chadema.

Wakaishia kukejeli.

Haya sasa.
 
Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza maisha October

Hii ni kwasababu Mbowe alikuwa anatumia hekima na busara kuongoza CHADEMA kwa miaka yote

Hakuwa akiongoza CHADEMA kwa namna hii ya kilimbukeni inayoongoza sasa

Hekima na busara zake ndizo zilipofusha CHADEMA waone kuwa ni Mwenyekiti asiyekuwa na sifa za uongozi

Badala yake CHADEMA ikaamini Lissu ndiye mwenye sifa za uongozi

Matokeo yake ikapelekea Wanachama wengi wa CHADEMA kupoteza nafasi za Ubunge na mbaya zaidi kupoteza maisha October

Sio maisha tu bali hata Chama kimepoteza Mwenyekiti wake pamoja na ndoto za kukamata dola

Kwa ufupi ni kuwa Chama kilidhani kikimtupa Mbowe kitafanikiwa ila kimepoteza kila kitu yaani CHADEMA imegawana hasara, wote wamekosa

Alilia sana kwa kutukanwa na Wanachama wa CHADEMA na hakuna aliyempa pole badala yake waliishia kumdhihaki na huu ni wakati wa Wanachama wa CHADEMA kulia kama alivyolia yeye

Yaani ni mwendo wa kugawana hasara

Kama CHADEMA ilimchoka Mbowe basi ingemuaga kwa heshima kubwa lakini sio kwa namna ile ya Matusi
Wewe pimbi, kwa hiyo walokufa wote ni wafuasi wa CCM?

Kama unampenda sana Mbowe akuoe uwe mke mdogo,

Pia tuonyeshe kadi za wanachama wa Cdm Sharifu Majini na Mtopa wa Clouds fm
 
Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza maisha October

Hii ni kwasababu Mbowe alikuwa anatumia hekima na busara kuongoza CHADEMA kwa miaka yote

Hakuwa akiongoza CHADEMA kwa namna hii ya kilimbukeni inayoongoza sasa

Hekima na busara zake ndizo zilipofusha CHADEMA waone kuwa ni Mwenyekiti asiyekuwa na sifa za uongozi

Badala yake CHADEMA ikaamini Lissu ndiye mwenye sifa za uongozi

Matokeo yake ikapelekea Wanachama wengi wa CHADEMA kupoteza nafasi za Ubunge na mbaya zaidi kupoteza maisha October

Sio maisha tu bali hata Chama kimepoteza Mwenyekiti wake pamoja na ndoto za kukamata dola

Kwa ufupi ni kuwa Chama kilidhani kikimtupa Mbowe kitafanikiwa ila kimepoteza kila kitu yaani CHADEMA imegawana hasara, wote wamekosa

Alilia sana kwa kutukanwa na Wanachama wa CHADEMA na hakuna aliyempa pole badala yake waliishia kumdhihaki na huu ni wakati wa Wanachama wa CHADEMA kulia kama alivyolia yeye

Yaani ni mwendo wa kugawana hasara

Kama CHADEMA ilimchoka Mbowe basi ingemuaga kwa heshima kubwa lakini sio kwa namna ile ya Matusi
Kenge hasikii mpaka atoke damu tulifika pabaya kama nchi bila ot 29 hawa wahuni wangetumaliza
 
Kama vile mbowe anampigilia msumari maana wanapendana kweli kweli
 
Mimi sina chama chochote cha siasa, ila siwezi kua / wala kumuelewa mtu wa aina yako, sio wewe sio mbowe wala mtu kama zitto
Mbowe sio fala alitumia busara kuongoza CHADEMA wao wakadhani busara zile zilikuwa ujinga
 
Nakumbuka niliweka mada kama angalizo kuwa Lisu hafai uwenyekiti wa chadema.

Wakaishia kukejeli.

Haya sasa.
Sio kukejeli tu huwa wanatukana pia, hawashauriki kwa jambo lolote lile ni watu wakaidi
 
Ila watu wa chama dola

Walimponda sana Mbowe wakasema CHADEMA ni chama cha Mbowe sio cha watu. Leo eti wanamsifia. Dah ila siasa si hasa.
Mbowe alikua anatumia busara wao wakamuona fala wakadhani anawachelewesha sasa sijui wao wamewahi au wamechelewa
 
Back
Top Bottom