Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Namsikiliza hana hoja na maneno tuu ivi hajui kuwa tumechoka na maneno ya kutisha tisha hakuna watoto hapa,
Mara watasusia uchaguzi hawa jamaa wanaakili ya uchaguzi tuu yaani madaraka ndio ajenda vichwani mwao na hawana jipya watakalolifanya fursa kama ndio hizi basi tumechemka
Mbowe hana jipya kabisaa na ndio kukaribisha malumbano maana anaowaataki hawawezi kukaa kimya watajibu kwann asiende kwenye hoja kama za msingi ni uchaguzi madaraka
Kwani mgamba yanashidwa kununua IPAD .?!?😕
Hahahahahaaaaaa! We! Muone huyo msemaji wa Kambi ya Upinzani kwa TAMISEMI, David Silinde, Naye yupo AnalogyMagamba bado wapo analogy ndo maana vichwa vyao vigum kama naz
sasa ndo bunge litanoga maana ameshauchokonoa mzinga wa nyuki kwa kijiti.Namsikiliza hana hoja na maneno tuu ivi hajui kuwa tumechoka na maneno ya kutisha tisha hakuna watoto hapa,
Mara watasusia uchaguzi hawa jamaa wanaakili ya uchaguzi tuu yaani madaraka ndio ajenda vichwani mwao na hawana jipya watakalolifanya fursa kama ndio hizi basi tumechemka
Mbowe hana jipya kabisaa na ndio kukaribisha malumbano maana anaowaataki hawawezi kukaa kimya watajibu kwann asiende kwenye hoja kama za msingi ni uchaguzi madaraka
hivi ili bunge la katiba, la uchaguzi au la bajeti, mbona mh. mboye ajazungumzia kabisa kuhusu BAJETI, NAMSIKIA AKIZUNGUMZIA DAFTARI LA WAPIGA KURA NA KATIBA TUU,, AU NI UELEWA WA BAJET HANA COZ BAJET NDIO MAISHA YETU HUKU MTAANI,
Wakisemea nje kwanini mmetoka.Hapo ndipo penyewe,serikali yote ipo hapo.Na mwenye akili atajua analosema Mbowe ni sahihi.Leo ni CDM kesho CCM mtayakumbuka ya Mbowe.Tafakari vyema!tuache ushabiki saaana, ametumia muda mwingi kuelezea mchakayo wa katiba TOFAUTI na hoja iliyoko mezani
Huyu Silinde naye anafaa kweli kuwa waziri kivuli?
Huyu Silinde naye anafaa kweli kuwa waziri kivuli?
Mm naona anaenda nje ya
hoja za msingi na hii ndio tatizo la mbowe masuala ya bunge la katiba ni
kule kule c huku hapa tunataka alete nondo za maana,ninacho kiona hapa
malumbano matupu tuu
naona anandeleza ulaghai tu, hamna chochote anachosema zaidi ya kuvumisha neno ccm. kila baada ya maneno kumi kuna neno ccm, ccm ccm.
Mbowe badala ya kuwasilisha maoni yake ya Kambi ya Upinzani, kalalamika weeeee mpaka mwisho
amka usingizini mkuu hapa kinachodaliwa ni bajeti ya ofisi ya waziri mkuu kwa hiyo inahusu vile vile chaguzi za hizi za tawala za mikoa kwa hiyo daftrai la wapiga kura ni moja ya kazi za ofisi ya waziri mkuu kwa hiyo limo kwenye bajeti hii. Kwa hiyo kuliongelea hajatoka nje ya mada
Mie sihitaji uwaziri Kivuli. Nahitaji kuwa Waziri Mkuu au Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaUnataka kuwa wewe? omba kama unaona unastaili kuliko yeye
budget ya offisi ya waziri mkuu inahusisha udget ya uandaaji wa katiba. KATIBA! mwana siasa makini akifikishwa hapo anatake advantage na kusema yote! We hujiulizi kwa nini spika amwachie tu aendelee kama anatoka nje ya hoja?mpk Mimi sijaelewa mambo ya katiba yamefikaje hapo juu ya kinachojadiliwa??
Hizi chuki za Mbowe na CHADEMA kwa wakazi wa Mbagala ni hatari sana. Eti anasema kuwa Mbagala ambayo ni kata inapendekezwa kuwa Wilaya. Kwani Hai ambayo wilaya yake inalingana na Mbagala?
Huyu naye awe Waziri Kamili! Kwanza huyu Silinde yumo kwenye list ya Mawaziri kivuli watakaotemwaukistaajabu ya uwaziri kivuli utayaona akiwa waziri kamili ngoja ashushe nondo ili tuelewane 2015 hatulali