Mbowe anashauriwa na nani?

WOW!
Great mind at its best.......

BOLDED PARTS NEED FURTHER ELABORATION PULEEEEZ!!
 
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?

Prof. Mwesiga Baregu
 
Anatupotezea muda huyo hana sera!!!!!!!!!
 
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?

shut-up!!!
 
Anashauriwa na MAAMUMA wenzake. PERIOD
 
Kwanza tuambie katika suala la wabunge wa Chadema kugomea speech ya JK wewe upo upande gani? Unapotaka kujua Mbowe anasshauriwa na nani ni ili iweje?

Yuko upande wake mwenyewe, we inakuhusu nini kutaka kujua yuko upande gani??? Tukubali WALICHEMKA
 
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?
kwenye bold, huyu alikuwepo. kwa hiyo wewe ni mzushi.

Kwa hiyo, kwako wewe chakubimbi, kati ya wabunge 46 wa CDM wabunge 4 wasipokubaliana na hoja inayokubalika na wabunge 42, basi ikataliwe? unafikiri CDM ni sawa na CCM, anamua mwenyekiti, katibu na Chiligati kuwa mgombea U-spika awe Mwanamke, na wengine wote wanasema saaawaaaa!!!
Uwelewa wako wa democrasia ni F.
 
CCM na JK ni wadini, na wao ndo wameanzisha haya yooye!! Kwa akili yao walidhani yataisha baada ya uchaguzi, kumbe ni marinated bomb, yet to explode!!!

Katiba mpya ndo suluhisho la matatizo yote.
 
Na CCM kuacha udini na ukabila ni sawa na nini? Peleka pumba zako kwa mamako nyaambaf!!!

Kama unataka matusi yakhe hapa umefika. Kwa mamaangu nitapeleka pumba zangu, na kwa mamaako wewe nitapeleka uboo, tena nitampelekea wa ****** ili kuuzibua maana nasikia umeziba.
 
Hakuna anaejibu, jazba hazitojenga chama chetu, guys just come with ideas achana na ushabiki....
sana saaana utaishia kutusiwa!:teeth: Sidhani kama Mh. Mbowe huwa anahitaji kushauriwa kwenye maamuzi yake, sidhani hata kidogo je wataka kumshauri akulime ngwala? yy ni mwenyekiti asietaka kupingwa. nina mashaka nae sana. Na huenda ndiye atakayesababisha ufa mkubwa kabisa chamani ama kikiuwa kabisa... Ila tusubiri ukweli utajulikana :embarrassed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…