Peoples!Mhe. Freeman Mbowe anametua hapa Gairo muda huu na kupokelewa kishujaa na viongozi mbalimbali wa chama, kidini na kimila. Kama ilivyokawaida yake alipokea kero zilizoelezwa na wananchi wenyewe, ndipo wananchi wakafunguka na kueleza kero lukuki. Wananchi hao wameenda mbali kwa kumuomba Mge. Mbowe awaondolee mbunge wao wa sasa Mhe. Shabiby... Mmoja wa wananchi hao alieleza kwamba mbunge wao aliwafanyia udalali kwa kuwalangua mahindi na kununua kwao kwa bei rahisi ya Tsh. 27000 na kuyauza kwa bei ya Tsh. 60,000/=. Picha
Gairo mjini ni ngome ya CHADEMA hata diwani wa hapo ni CHAD.EMA
anafunika au ndio watu mameudhiria kuangalia chopa kama ilivyokua kigoma????
Embu cheki hapa ilivyokua kogoma watu wamezunguka chopa badala ya kumsikiza kamanda mboye
anafunika au ndio watu mameudhiria kuangalia chopa kama ilivyokua kigoma????
Embu cheki hapa ilivyokua kogoma watu wamezunguka chopa badala ya kumsikiza kamanda mboye
huyo jamaa (AHMED MOHAMED SHABIBY) ni katili sana nimewah kuwa conductor ktk mabasi yake ya SHABIBY alitimua kisa mshahr