MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Ni Dharau kubwa kumfananisha baba wa taifa na huyu muhuni anayemiliki danguro!
Mbowe ndiye Nyerere katika Tanzania mpya!Nawasalimu JF!
Ninamfananisha Mbowe wa CHADEMA na Nyerere wa TANU/CCM
Mbowe na Nyerere: Hawakuanzisha vyama walivyoviongoza kwa mafanikio
Mbowe na Nyerere: Wamekuwa na maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mgombea uraisi katika muda walipokuwa hai/wanaongoza
Mbowe na Nyerere: Wametawala kwa zaidi ya vipindi viwili kama wenyeviti katika vyama vyao
Nafikiri ni muhimu kwa chama chochote kupata mtu wa kukaa nacho muda mrefu ili kukijenga. Nyerere alifanya hivyo na sasa Mbowe anafanya hivyo.
Kwahiyo,
Mbowe=Nyerere
Asanteni.
Ni kweli kama nyerere alianzisha TANU/CCM basi Mbowe itakua CHADEMA/UP umoja party!Mbowe ndiye Nyerere katika Tanzania mpya!
huu upumbafu wako ndiyo umekufanya uwe jinsi ulivyo kwa uishivyo...Hahahahahahahaaaaaaaaa!vipi kuhusu haya?
- Elimu
- uzalendo
- kumiliki mali
- uzinzi
- ukabila
- uwajibikaji
- utawala wa sheria
- kung'ang'ania madaraka
- ufisadi
- ufalme nk?
Nawasalimu JF!
Ninamfananisha Mbowe wa CHADEMA na Nyerere wa TANU/CCM
Mbowe na Nyerere: Hawakuanzisha vyama walivyoviongoza kwa mafanikio
Mbowe na Nyerere: Wamekuwa na maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mgombea uraisi katika muda walipokuwa hai/wanaongoza
Mbowe na Nyerere: Wametawala kwa zaidi ya vipindi viwili kama wenyeviti katika vyama vyao
Nafikiri ni muhimu kwa chama chochote kupata mtu wa kukaa nacho muda mrefu ili kukijenga. Nyerere alifanya hivyo na sasa Mbowe anafanya hivyo.
Kwahiyo,
Mbowe=Nyerere
Asanteni.
WEWE UNAFANANA NA MAGUFULINawasalimu JF!

Nimewahi kuongea na MAKADA wazoefu wa KIJANI, wanasema Mbowe ni MTU na NUSU.Wakuu
Kama nyerere aloanzisha Aliongoza TANU ,ikaungana na ASP na kuwa CCM
Na Mbowe ataiongoza CHADEMA ,ikaungana na CCM na kuzaa chama kipya!
TUSUBIRI
Rabbon uje uone HUKU
Ktk vyama ambavyo uanzishwaji wake Serikali haikutia mkono wake moja Kwa moja ni CDM, why?Nimewahi kuongea na MAKADA wazoefu wa KIJANI, wanasema Mbowe ni MTU na NUSU.
Ktk kusuka mikakati ya chini Kwa chini, ujasiri,uthubutu nk wanamuheshimu sn.
Tumia AKILI kumlinganisha Mbowe na Nyerere Kuna lugha na ujumbe "anatufikirisha" ngoja nami nitumie akili yangu.
MBOWE Hana uchu wa madaraka kama alivyokuwa NYERERE Amegombea Urais mara moja tu, baadae amewapa fursa wengine wagombee kama Dr Slaa, LOWASSA na badae Lissu.Nawasalimu JF!
Ninamfananisha Mbowe wa CHADEMA na Nyerere wa TANU/CCM
Mbowe na Nyerere: Hawakuanzisha vyama walivyoviongoza kwa mafanikio
Mbowe na Nyerere: Wamekuwa na maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mgombea uraisi katika muda walipokuwa hai/wanaongoza
Mbowe na Nyerere: Wametawala kwa zaidi ya vipindi viwili kama wenyeviti katika vyama vyao
Nafikiri ni muhimu kwa chama chochote kupata mtu wa kukaa nacho muda mrefu ili kukijenga. Nyerere alifanya hivyo na sasa Mbowe anafanya hivyo.
Kwahiyo,
Mbowe=Nyerere
Asanteni.
Mbowe anafanana na Nyerere: mm nataka nimfananishe Mbowe na Nyerere Kwa kuangalia picha ya Nyerere na picha ya Mbowe nikilinganisha na picha za watoto wa Nyerere kama Madaraka na Makongoro.Nawasalimu JF!
Ninamfananisha Mbowe wa CHADEMA na Nyerere wa TANU/CCM
Mbowe na Nyerere: Hawakuanzisha vyama walivyoviongoza kwa mafanikio
Mbowe na Nyerere: Wamekuwa na maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mgombea uraisi katika muda walipokuwa hai/wanaongoza
Mbowe na Nyerere: Wametawala kwa zaidi ya vipindi viwili kama wenyeviti katika vyama vyao
Nafikiri ni muhimu kwa chama chochote kupata mtu wa kukaa nacho muda mrefu ili kukijenga. Nyerere alifanya hivyo na sasa Mbowe anafanya hivyo.
Kwahiyo,
Mbowe=Nyerere
Asanteni.
MkuuMbowe anafanana na Nyerere: mm nataka nimfananishe Mbowe na Nyerere Kwa kuangalia picha ya Nyerere na picha ya Mbowe nikilinganisha na picha za watoto wa Nyerere kama Madaraka na Makongoro.
Unajua inawezekana Mbowe alimpenda Nyerere na itikadi zake Hadi sura yake ikaanza kufanana na ya Nyerere na familia yake. Hata mke na mume wakipendana saaaana, sura Huwa zinafanana.
Acha kumdhalilisha hayati. Wa kufanana ndio huyo faru John gaidi?Nawasalimu JF!
Ninamfananisha Mbowe wa CHADEMA na Nyerere wa TANU/CCM
Mbowe na Nyerere: Hawakuanzisha vyama walivyoviongoza kwa mafanikio
Mbowe na Nyerere: Wamekuwa na maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mgombea uraisi katika muda walipokuwa hai/wanaongoza
Mbowe na Nyerere: Wametawala kwa zaidi ya vipindi viwili kama wenyeviti katika vyama vyao
Nafikiri ni muhimu kwa chama chochote kupata mtu wa kukaa nacho muda mrefu ili kukijenga. Nyerere alifanya hivyo na sasa Mbowe anafanya hivyo.
Kwahiyo,
Mbowe=Nyerere
Asanteni.
.Nawasalimu JF!