idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,423
5. nyerere hakupenda watu wa huko kwa akina-mbowe, na makabila mengine fulani-fulani. aliogopa hata kuwapa madaraka kwa kuwa walikuwa 'super' (kwa alivyoona yeye) kwa hiyo alikuwa mkabilaHahahahahahahaaaaaaaaa!vipi kuhusu haya?
- Elimu
- uzalendo
- kumiliki mali
- uzinzi
- ukabila
- uwajibikaji
- utawala wa sheria
- kung'ang'ania madaraka
- ufisadi
- ufalme nk?
8. nyerere alikalia kiti cha uraisi mpaka akachakaa
10. kwa jinsi alivyoshika madaraka, nyerere hakuwa tofauti na mfalme. tena alimzidi mbowe!