Tumia akili
Member
- Apr 1, 2013
- 67
- 1,484
Nawasalimu JF!
Ninamfananisha Mbowe wa CHADEMA na Nyerere wa TANU/CCM
Mbowe na Nyerere: Hawakuanzisha vyama walivyoviongoza kwa mafanikio
Mbowe na Nyerere: Wamekuwa na maamuzi ya mwisho juu ya nani awe mgombea uraisi katika muda walipokuwa hai/wanaongoza
Mbowe na Nyerere: Wametawala kwa zaidi ya vipindi viwili kama wenyeviti katika vyama vyao
Nafikiri ni muhimu kwa chama chochote kupata mtu wa kukaa nacho muda mrefu ili kukijenga. Nyerere alifanya hivyo na sasa Mbowe anafanya hivyo.
Kwahiyo,
Mbowe=Nyerere
Asanteni.